Habari mpya

Pata habari kwa barua pepe

Jiunge ili uweze kupata habari, makala, uchambuzi na mengine mengi kwa njia ya barua pepe kila mwisho wa wiki

TANGAZO

Uchambuzi

iPhone 13 Pro

Apple wazindua iPhone 13 Pro na Pro Max zikiwa na kioo...

Apple wazindua iPhone 13 Pro na iPhone 13 Pro Max zikiwa zinapokea kijiti kutoka kwa watangulizi wake iPhone 12 Pro na iPhone Pro Max....
Jinsi ya kudownload na ku install iOS 15

Jinsi ya kudownload na ku install iOS 15 kwenye simu yako ya iPhone

Apple leo wameachia sasisho kubwa la mfumo endeshi wa iOS 15 kwa ajili ya simu za iPhone. Sashisho hili ni bure kabisa kushusha na linazihusu...

Jinsi ya kuhamisha picha kutoka Google Photos kwenda iCloud

Utangulizi kabla ya kujua jinsi ya kuhamisha picha kutoka Google Photos kwenda iCloud, tuone tofauti kati ya hizi huduma mbili. Tangu mwaka 2015 Google Photos...

Ukifanya haya, Simu janja yako itakuwa salama

Simu ya mkononi kama ilivyo kompyuta zingine, ina mapungufu yake. Mara kadhaa ushasikia kuhusu app zinazoweza kuharibu simu yako au ishu za usalama wa...

Nokia 1 yenye Android Oreo (Go edition) yazinduliwa kwenye kongamano la MWC

Utangulizi Tayari kongamano la MWC 2018 limeanza na makampuni yameanza kutangaza bidhaa wanazozindua, na MHD Global wameanza kwa kutangaza Nokia 1 yenye Android Oreo, ambayo...

Nokia 8110 yarudi ikiwa na 4G, Facebook na kifuniko cha Matrix

Pamoja na simu zingine 4, kampuni iliyo nyuma ya utengenezaji wa simu za Nokia ya HMD Global imezindua simu ya Nokia 8110 (ambayo ilipewa...

Fahamu kuhusu Gari ya Umeme

Gari la umeme ni gari ambalo linatengenezwa na motor moja au zaidi ya umeme, kwa kutumia nishati zilizohifadhiwa kwenye betri za kuchaji. Magari ya...

MWC 2018: Tutegemee kuona nini?

Zikiwa zimebaki siku chache kabla kongamano hili kubwa kuanza, tuwekane sawa kwanza. MWC (kwa kirefu ni Mobile World Congress ) ni moja ya matukio...

T-shirt ya Mtaawasaba

Haya tena ndugu wasomaji wetu, Mwezi huu tunawapa zawadi ya T-shirt nzuri ya Mtaawasaba.com, Unachotakiwa kufanya ni: Tembelea kila siku www.mtaawasaba.com ...

Bitcoin: Yote unayohitaji kufahamu

Bitcoin ni mfumo wa kidigitali wa malipo kwenye mtandao wa internet (cryptocurrency), Imekuwepo tangu mwaka 2009. Mfumo huu ulitengenezwa na programa/maprograma anae/wanao julikana kwa jina...

Hakikisha unaipa ulinzi Computer yako: Antivirus hizi ni bora na za bure kupakuliwa mwaka...

Programu ya Antivirus ni moja ya mambo ya kwanza ambayo unapaswa kuweka kwenye PC mpya, na ulinzi wa ubora wa juu unaweza kuwa wako...

Unaweza kuvutiwa na hizi

Mtaawasaba Ungependa kupata taarifa pindi habari mpya zinapotoka? Hapana Ndiyo