Instagram iko mbioni kuachia Direct Messages kwa watumiaji wa kompyuta

Instagram iko kwenye majaribio ya kuwezesha watumiaji wa kompyuta kutuma na kupokea jumbe kupitia mtandao maarufu kama Direct Messages, hii ni kwa watumiaji wa...

Sasa watumiaji wa iOS wanaweza kufunga WhatsApp kwa kutumia TouchID au FaceID

 WhatsApp imekuwa ikija na mabadiliko na maboresho kadha wa kadha hasa upande wa usalama kwa miezi kadhaa sasa iliyopita. Moja ya maboresho waliyoleta kwa...

Facebook kuunganisha WhatsApp, Facebook Messenger na Instagram

Facebook ina mpango wa kuunganisha huduma za kutumiana jumbe za WhatsApp, Instagram na Facebook Messenger. Japo app zote tatu zitakuwa zikifanya kazi kwa kujitegemea,...

Sasa kupitia WhatsApp unaweza kupiga simu za sauti na video kwa hadi watu wanne

Kampuni ya WhatsApp leo imefanya maboresho kwenye huduma yake ya kutuma na kupokea jumbe, ambapo sasa watumiaji wataweza kufanya video calls kwa vikundi, yaani...

Simu mpya za Huawei zazuiwa kupakua app ya VLC

Simu mpya za Huawei haziwezi tena kupakua tena app maarufu ya  VLC for Android kutoka kwenye duka la app la Play Store, yote haya yamesababishwa na ROM...

Kashfa ya Cambridge Analytica yafanya Facebook kuzindua programu kusafisha mipangilio yako ya faragha.

Ili Kufanya iwe rahisi kupunguza ufikiaji wa data zako kutokana na kashfa hiyo facebook sasa inakuwezesha kuondoa programu ambazo ulizitumia kupitia facebook login kwa...

Wireless Storage: Njia rahisi ya kuhamisha Data kwenye simu yako ya android.

Data transfer imekuwa kikwazo kikubwa hasa katika file kubwa mfano file yenye kuanzia 1gb na zaidi inakuwa inachukua muda mrefu sana kutumia USB cable...

Google yawezesha upatikanaji wa njia za Wheelchair kwenye Google Maps

Kuanzia leo, Google imeongeza upatikanaji wa routes za Wheel Chair kwenye Google maps ili kuwezesha watumiaji hao kufika kwa urahisi sehemu wanazohitaji kwenda. Huduma hii...

Facebook Express: Programu ambayo inaruhusu watu katika nchi zinazoendelea kupata Wi-Fi.

Facebook sasa ina programu ambayo inaruhusu watu katika nchi zinazoendelea kupata location na kulipia Wi-Fi. Kampuni hiyo ilizindua programu ya Facebook Express Wi-Fi inayopatikana...

Spotify yazindua huduma zake Afrika, yaanza na Afrika Kusini

Kampuni kubwa kabisa ya ku stream muziki duniani ya Spotify imezindua huduma zake Afrika jumanne hii ambapo kwa kuanzia imezindua huduma zake jijini Johanessburg...
2,492MashabikiPoa
379Wafuasitufuate
40Wafuasitufuate
11WanachamaJiunge

Machapisho Mapya