Apple ina Mpango wa kutoa MacBook Air za bei nafuu mwaka huu

Diana Benedict 1 167

Kampuni ya Apple inatarajia kutoa Macbook Air za inch 13 kwa bei ya chini ukilinganisha na bei za sasa,(Kwa sasa MacBook Air 13” inauzwa $999 ambayo ni sawa na Sh. 2,200,000/= za kitanzania). Kulingana na ripoti hiyo inaonekana kwamba kamuni ya Apple haikufanikiwa sana katika soko la MacBook Air. “Tunatarajia Apple kutoa MacBook Air mpya na za bei ya chini” alisema Kuo. Mwishoni mwa mwaka 2018 tutaiona bidhaa hiyo ikiingia sokoni.

airpods mac eyecatch

Ripoti pia inasema kwamba Apple itaongeza upya ubora wa AirPod zake, na kwamba HomePod imepata mahitaji ya kawaida sana katika soko.

 

Wachambuzi wanasema kwamba kupungua kwa bei za MacBook Air kutaweza kuongeza demand ya bidhaa hiyo kutoka asilimia 10 hadi 15 ukilinganisha na zamani.

Endelea Kufuatilia mtaawasaba pia subsribe channel yetu ya YouTube uweze kupata habari mbali mbali za teknolojia kwa video kila wiki.

Mwandishi Diana Benedict Mwandishi
Mitandao ya Kijamii
Diana Benedict. Digital Creator | IT Specialist | Graphics Designer | Web Designer | Web SEO | Contents Management | UI/UX Designer and Social Media Management.
1
Receive Mtaawasaba notifications Click ‘Receive,’ then ‘Allow’ when prompted. Dismiss Receive