web analytics

Jaribu Hii kuongeza Speed ya Computer yako ya zamani.

Una computer ya zamani yenye Ram at leat 512Mb? Storage kuanzia 70Gb? Computer yako ina Processor ndogo kama Intell Pentium 4 or...

Apple kuhamia kwenye vioo vya OLED kwa iPhone zote kuanzia 2019

Kuna ripoti ambazo zimeanza kuenea kuwa kampuni ya simu ya Apple itaanza kutumia vioo vye teknolojia ya OLED kwenye modeli za simu zake zote...

Acer imezindua Chromebox Mpya ya Gharama nafuu zaidi

Katika maonesho ya CES 2018 Acer waliweza kuoneshsha bidhaa zao nyingi ikiwepo hii ya Chromebox. Ni Computer ya mezani inayotumia mfumo endeshi wqa ChromeOS...
video

Zuckerberg achapisha ukurasa mzima kwenye gazeti kuomba radhi juu ya kashfa ya Cambridge...

ZuckìKufuatia kashfa kubwa ya uvunaji wa taarifa za watumiaji wa mtandao wa kijamii uliofanywa na kampuni ya Cambridge Analytica iliyosababisha kushuka kwa kasi ya ajabu...

Tweet ya Kylie Jenner yagharimu SnapChat Dola bilioni 1.3

Siku ya alhmisi ilikuwa mbaya baada ya hisa za Snapchat kuporomoka ghafla na kampuni iyo imepoteza karibu dola za kimarekani billioni 1.3 mpaka 1.6...

Samsung Experience 9.0 yaja na maboresho ya Emoji

Kutegemeana na aina ya simu unayotumia, utagundua kuwa kuna tofauti katika Emoji zinazopatikana, ni utaratibu wa kawaida kwa watengenezaji wa simu kutengeneza Emoji za...

Qualcomm yagomea ofa ya kununuliwa na Broadcom kwa Dola Bilioni 121

Bodi ya wakurugenzi wa kampuni inayotengeneza semiconductor ya Qualcomm kwa pamoja wagomea dili ya dola za kimarekani billioni 121 kununuliwa na kampuni ingine inayotengeneza...

Facebook yathibitisha kufanya majaribio ya kitufe cha downvote

Kwa miaka sasa, watumiaji wa mtandao wa kijamii wa Facebook wakiomba kuongezwe kitufe cha "Dislike" lakini haikuwahi kutokea ivyo. Badala yake kumekuwa na kitufe...

Cryptocurrency ni nini?

Cryptocurrency sio neno geni masikioni kwako ndugu msomaji. Ni mada ambayo imekuwa ikizungumziwa sana hasa hasa kipindi cha miaka ya hivi karibuni. Lakini je,...

Sharp wazindua simu janja ya kwanza yenye notch mbili

Mpaka sasa watengenezaji wa simu wanatafuta namna ya kupunguza ukubwa wa notch kwenye simu janja mpya zinazotarajia kutoka pia ni pamoja na kuhamia kwenye...

Sasa kupitia WhatsApp unaweza kupiga simu za sauti na video kwa hadi watu wanne

Kampuni ya WhatsApp leo imefanya maboresho kwenye huduma yake ya kutuma na kupokea jumbe, ambapo sasa watumiaji wataweza kufanya video calls kwa vikundi, yaani...

Maboresho mapya kwenye app ya Onedrive kutoka Microsoft

Sasa unaweza kufungua application ya Onedrive kwa kutumia uthibitishaji wa vidole (Fingerprint). OneDrive ya Microsoft ni program ya uhifadhi wa cloud inayokuwezesha kuhifadhi, picha, nakala,...

Simu mpya za Huawei zazuiwa kupakua app ya VLC

Simu mpya za Huawei haziwezi tena kupakua tena app maarufu ya  VLC for Android kutoka kwenye duka la app la Play Store, yote haya yamesababishwa na ROM...

WhatsApp kudhibiti idadi ya message za kuforward ili kuzuia usambazaji habari za uzushi

Ni chini ya majuma mawili yamepita tangu WhatsApp watangaze kuongeza alama kwenye jumbe zinazosambazwa "forwarded message", leo wametangaza kufanya maboresho mahususi kwa ajili ya...

Safaricom iko mbioni kupeleka huduma ya M-Pesa nchini Ethiopia

Kwa mujibu wa taarifa ambayo imeanza kuonekana kwenye tovuti ya shirika maarufu la habari ya Reuters inasema kampuni kubwa kabisa ya mawasiliano nchini Kenya...

Google yapigwa faini ya euro bilioni 4.34 na Umoja wa Ulaya

Kamisheni ya Umoja wa Ulaya kupitia kamishna wa ushindani bibi Margrethe Vestager, wametangaza kuipiga faini ya takribani Euro bilioni 4.3 kampuni ya Google kwa...

Bakhresa kuja na Azam Telecom

Akizungumza na gazeti la kila siku la The Citizen,  Mkurugenzi wa Mambo ya Nje wa kampuni ya Bakhresa Group, bwana Hussein Sufian Ally amesema kundi...

Instagram yazindua IGTV, programu tumishi kwa ajili ya video ndefu.

IGTV ni jaribio la Instagram kuanzisha mfumo wa kurusha Video ndefu kama YouTube, ambapo hapo awali Instagram ilikuwa ikiruhusu watumiaji kupakia mpaka video za...
2,504MashabikiPoa
0Wafuasitufuate
376Wafuasitufuate
36Wafuasitufuate
0WanachamaJiunge

Machapisho Mapya