Acer imezindua Chromebox Mpya ya Gharama nafuu zaidi

0
Katika maonesho ya CES 2018 Acer waliweza kuoneshsha bidhaa zao nyingi ikiwepo hii ya Chromebox. Ni Computer ya mezani inayotumia mfumo endeshi wqa ChromeOS...

Robot huyu ana uwezo wa kutambua watu na kucheza muziki

0
Sony's iconic Aibo mbwa wa kiroboti sasa anaweza kucheza muziki, kucheza mpira na kutambua watu katika familia yako.Kampuni ya umeme ya Kijapani ilionyesha mbinu...

Unataka kufanya mazungumzo ya kibinafsi katika mkusanyiko wa watu wengi?

0
Maonesho ya CES huko laa vegas yanaendelea, Katika pita pita mtaawasaba imekutana na kifaa kinachokuwezesha kufanya mazungumzo yako ya kibinafsi hata ukiwa katika mkusanyiko...

Project Linda: Kifaa kinachoibadilisha Simu yako ya Razer Phone kuwa Laptop

0
Katika Maonesho ya CES 2018 kampuni ya Raser imeonesha kifaa chake kipya kitakachoifanya simu ya Razer kuwa laptop inayokuwezesha kufanya kazi nyingi kuliko simu.Tuliona...

Kampuni ya Sony imezindua Dolby Vision Blu-ray player na Dolby Atmos receiver

0
Kampuni ya Sony imezindua 4K Blu-ray Player ambayo inasupport Dolby Vision HDR na A/V receiver ambayo inatoa audio ya Dolby Atmos huko kwenye maonesho...