Hakuna tena majina ya vyakula, toleo jipya la Android litaitwa Android 10

0
Android  Q ndio jina lilikuwa linafuata kwa toleo jipya la mfumo endeshi wa simu janja na tableti wa Android. Google wameamua kuachana na mfumo...

Huawei wazindua HarmonyOS, mfumo endeshi kwa ajili ya vifaa janja

0
Katika siku ya kwanza ya mkutano mkubwa wa madeveloper unaofanywa na Huawei kwa jina la Huawei Developer Conference, unaoendelea huko Dongguan City, mfumo endeshi...

Nubia Alpha: Simu janja inayovaliwa mkononi.

0
Wakati dunia imeweka macho yake kwenye teknolojia mpya ya simu zenye vioom vinavyojikunja, kmapunia ya simu janja ya Nubia imeamua kupitia njia nyingine kwa...

Nokia 9 PureView yenye kamera tano yazinduliwa kwenye maonesho ya MWC 2019

0
HMD Global wamezindua simu janja ya hadhi ya juu ya Nokia 9 PureView. Simu imegusa vichwa vya habari kwa kuwa ndio simu janja ya...

Vita ya simu zinazokunjika: Hii ndiyo Huawei Mate X

0
Maonesho ya vifaa vya elektroniki yanayofanyika kila mwaka huko Barcelona Hispania yameanza na kampuni ya vifaa vya elektroniki kutoka China imekuwa ya kwanza kuonesha...