Facebook kuunganisha WhatsApp, Facebook Messenger na Instagram

0
Facebook ina mpango wa kuunganisha huduma za kutumiana jumbe za WhatsApp, Instagram na Facebook Messenger. Japo app zote tatu zitakuwa zikifanya kazi kwa kujitegemea,...

Facebook kuondoa kipengele cha Trending Topics hivi karibuni

0
 Facebook imeamua kuondoa kipengele cha Trending topics, habari imeandikwa kwenye blog ya mtandao huo wa kijamii wa Facebook. Kipengele icho cha Trending topics kilianzishwa...

Google washirikiana na Levi’s kutengeneza koti la kidigitali.

0
Google kama tuijuavyo imekuwa ikibuni bidhaa mbalimbali kwa miaka mingi sana vitu kama simu, tarakilishi mpakato (laptop), spika, VR goggles, vifaa vya masikioni (ear...

Huawei kuja na P20 iliyo na kamera tatu na notch kama ya iPhone X

0
Ushindani wa display notch bado unaendelea katika smartphones za android kuiga kutoka iPhone X, kampuni kama Asus, Doogee na OnePlus ni kampuni ambazo zimeiga...

Twitter ina mpango wa kuruhusu mtu yeyote kuwa verified

0
Akizungumza kupitia huduma ya Twitter ya Periscope Livestream, bwana Jack Dorsey ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Twitter amesema kwamba wako mbioni kuruhusu watumiaji wote...