Facebook kuunganisha WhatsApp, Facebook Messenger na Instagram

0
Facebook ina mpango wa kuunganisha huduma za kutumiana jumbe za WhatsApp, Instagram na Facebook Messenger. Japo app zote tatu zitakuwa zikifanya kazi kwa kujitegemea,...

Maboresho mapya kwenye app ya Onedrive kutoka Microsoft

0
Sasa unaweza kufungua application ya Onedrive kwa kutumia uthibitishaji wa vidole (Fingerprint).OneDrive ya Microsoft ni program ya uhifadhi wa cloud inayokuwezesha kuhifadhi, picha, nakala,...

Bakhresa kuja na Azam Telecom

0
Akizungumza na gazeti la kila siku la The Citizen,  Mkurugenzi wa Mambo ya Nje wa kampuni ya Bakhresa Group, bwana Hussein Sufian Ally amesema kundi...

Hizi features mpya utazipata utakapo update Android Oreo kwenye Galaxy S8 na S8 Plus.

0
Hivi karibuni kampuni ya Samsung ilitangaza kutoa updates mpya kwenye vifaa vya Samsung S8 na S8 Plus. Kabla ya kutoa official update ya android...

Kampuni za simu kuboresha usajili wa wateja kwa kutumia alama za vidole

0
Leo karibu mitandao yote ya simu nchini Tanzania imekuwa ikituma ujumbe mfupi wa maneno kwa wateja wao unaosema “Ndugu mteja katika kuboresha usajili wa...