Acer imezindua Chromebox Mpya ya Gharama nafuu zaidi

Katika maonesho ya CES 2018 Acer waliweza kuoneshsha bidhaa zao nyingi ikiwepo hii ya Chromebox. Ni Computer ya mezani inayotumia mfumo endeshi wqa ChromeOS...

Robot huyu ana uwezo wa kutambua watu na kucheza muziki

Sony's iconic Aibo mbwa wa kiroboti sasa anaweza kucheza muziki, kucheza mpira na kutambua watu katika familia yako.Kampuni ya umeme ya Kijapani ilionyesha mbinu...

Unataka kufanya mazungumzo ya kibinafsi katika mkusanyiko wa watu wengi?

Maonesho ya CES huko laa vegas yanaendelea, Katika pita pita mtaawasaba imekutana na kifaa kinachokuwezesha kufanya mazungumzo yako ya kibinafsi hata ukiwa katika mkusanyiko...

Project Linda: Kifaa kinachoibadilisha Simu yako ya Razer Phone kuwa Laptop

Katika Maonesho ya CES 2018 kampuni ya Raser imeonesha kifaa chake kipya kitakachoifanya simu ya Razer kuwa laptop inayokuwezesha kufanya kazi nyingi kuliko simu.Tuliona...

Kampuni ya Sony imezindua Dolby Vision Blu-ray player na Dolby Atmos receiver

Kampuni ya Sony imezindua 4K Blu-ray Player ambayo inasupport Dolby Vision HDR na A/V receiver ambayo inatoa audio ya Dolby Atmos huko kwenye maonesho...

Sony Xperia XA2, XA2 Ultra na L2 zazinduliwa rasmi kwenye maonesho ya CES 2018

Kampuni ya Sony imezindua simu tatu Xperia XA2, XA2 Ultra and L2 ambazo ni mid-range kwenye maonesho yanayoendelea huko Las Vegas.Simu hizo zenye kamera...

The Wall: TV yenye ukubwa wa ajabu kutoka Samsung

Ni mashindano ya nani mwenye uwezo kutengeneza Televisheni kubwa, ambapo siku kadhaa kabla ya maonesho ya CES 2018 kuanza kampuni ya LG ilionesha TV...

Kutana na Kiatu Janja kwa ajili ya wazee

Teknolojia ya vifaa janja vinavovaliwa (wearables) inazidi kukua kila kukicha. Mwaka huu katika maonesho ya CES 2018 yanayoanza rasmi leo tarehe 8 mwezi wa...

Muonekano wa Simu Mpya za Samsung Galaxy S9 & S9 Plus

Kampuni Samsung imethibitisha umbo kamili la simu za Samsung Galaxy S9 na S9 Plus zitakazo zinduliwa mwezi wa nne mwaka huu!Muundo na MuonekanoUmbo la...

Nokia 6 (2018) yatangazwa

Jana kulivuja taarifa kwenye mitandao kuhusu simu ya Nokia 6 (2018). Basi leo kupitia tovuti yao, Nokia wametangaza rasmi kutoka kwa Nokia 6 (2018).Jina...
2,496MashabikiPoa
374Wafuasitufuate
39Wafuasitufuate
11WanachamaJiunge

Machapisho Mapya