Chromebook Pixel: Laptop ya kisasa ya google yazinduliwa

Mwandishi Hemedans Nassor

kama lilivyo jina lake chromebook pixel ni laptop ambayo inakuja na kioo cha technolojia ya juu chenye resolution kubwa kupambana na laptop nyengine ambazo zipo vizuri maeneo hayo kama laptop za mac (laptop za apple). laptop hii si kama laptop tulizozizoea za windows au za apple, hii laptop inatumia operating system ya chrome. hii ni operating system inayofanya mambo yote online. lakini kikwazo kikubwa kwa hii laptop ni bei, inauzwa dola 1300 (zaidi ya million 2 za kitanzania) kwa wifi version au ukitaka yenye lte(4g) itafika dola 1500 kama milion 2 na nusu.

Chromebook2-mtaawasaba chromebook pixel ina kioo bora kuliko macbook air

hii laptop ina specification zifuatazo

Tech Specs

Hardware

Width11.72 inches
Depth8.84 inches
Thickness.64 inches
Weight3.35 pounds
ColorSilver / Black

Software

Operating systemChrome OS

Display (base)

Screen size (diagonal)12.85 inches
Display surfaceGlossy
TechnologyIPS LCD
BacklightLED
Resolution (X)2560 px
Resolution (Y)1700 px
PPI239
Touch technologyCapacitive
MultitouchYes

Keyboard

TypeChiclet
BacklitYes
Number padNo

Mouse

Type(s)Trackpad

Processor (base)

CPU brandIntel
CPU familyIvy Bridge
ModelCore i5
Cores2
Clockspeed1.8 GHz

GPU (base)

Graphics typeIntegrated
Integrated GPU brandIntel
Integrated GPU modelHD Graphics 4000

Memory

Base RAM size4 GB

Storage

Base drive typeFlash (SSD)
Base drive capacity32 GB
Max. config SSD64 GB
Card readerYes
Card reader supportSD, MMC

Audio

Speakers2

Webcam

Video resolution720p

Port options

USB2
Mini DisplayPort1
3.5mm mic / headphone combo1

Connectivity

Wi-FiYes
Wi-Fi options802.11n, 802.11g, 802.11b
BluetoothYes
Bluetooth version3.0
LTEOptional

Battery

Size59 Wh
Quoted time5 hr

 

kama wewe una internet ya kutosha yenye speed unaweza nunua hii laptop lakini kama una internet ya kimagumashi achana nayo,

 

kama una la kuongezea usisite kucoment hapo chini

Avatar of hemedans nassor
Mwandishi Hemedans Nassor Mchangiaji
Hemedans aka Chief Mkwawa, amekuwa mwandishi wa makala mbalimbali za teknolojia kuanzia kuanzishwa kwa Mtaawasaba. Kwa sasa ni mchangiaji kila anapopata nafasi
Maoni yako

Trending on Mtaawasaba

Receive Mtaawasaba notifications Click ‘Receive,’ then ‘Allow’ when prompted. Dismiss Receive