Kampuni ya Apple inatarajia kuongeza kipengele cha FaceID kwenye kifaa cha iPad

Simu ya kwanza kuzinduliwa ikiwa na kipengele cha ulinzi cha FaceID ni iPhoneX wengine wanaita iPhone 10, Japo bado hazijaanza kununuliwa Official kwenye store za Apple, Event ya Apple WWDC September ndio ilizinduliwa iPhone X.Kwa habari zilizotufikia mtaawasaba kutoka vyanzo vyetu mbali mbali vya habari ni kwamba kampuni ya Apple inatarajia kuongeza kipengele hicho cha FaceID katika vifaa vyake vya iPad vitakavyoanza kutoka mnamo 2018.

Usikose Kusoma:  TTCL kutumia mabilioni kusambaza huduma ya internet majumbani

Kwa namna nyigine Apple inatarajia kuunda iPad hizokatika mfumo ule kama wa iPhoneX (Bezel less display au Edge to Edge display) Design!

Endelea kutufuatilia @MtaawaSaba ili usipitwe na Habari, Uchambuzi naMakala mbali mbali ya mitanadoni na ya kiteknolojia kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Google+ na Youtube, Pia usisite kutoa maoni yako hapo chini au tuandikie barua pepe kwa mhariri@mtaawasaba.com

Usikose Kusoma:  Kutana na Kiatu Janja kwa ajili ya wazee

Andika Maoni

Andika maoni yako
Andika jina lako hapa