Snapchat Plus: Huduma ya kulipia kutoka Snap kuanza hivi karibuni.
Snap, kampuni inayomiliki mtandao wa kijamii maarufu wa Snapchat imethibitisha kuwa kwa sasa inajaribu huduma mpya ya usajili kwa watumiaji wake. Huduma hii mpya...
Internet Explorer yapumzishwa baada ya miaka 27
Hatimaye, Internet Explorer yapumzishwa baada ya miaka 27. Kampuni kubwa ya teknolojia ya Microsoft rasmi "imestaafisha" kivinjari chake cha wavuti cha Internet Explorer kuanzia...
Adobe kuja na toleo la Photoshop bure kwa wote
Kwa mujibu wa mtandao wa The Verge, kampuni ya Adobe kuja na toleo la Photoshop bure kwa wote. Toleo hili la Adobe Photoshop hivi...
WWDC 2022: MacBook Air yenye Chip ya Apple M2 Yatangazwa
Moja ya matangazo makubwa leo siku ya kwanza ya WWDC 2022 ni pamoja na, hatimaye MacBook Air yenye Chip ya Apple M2 Yatangazwa. Uzinduzi...
iOS 16 Imezinduliwa kwenye WWDC 2022
iOS 16, ndio toleo jipya la mfumo endeshi wa simu za iPhone kutoka Apple. iOS 16 Imezinduliwa kwenye WWDC 2022, mkutano wa kila mwaka...
WWDC 2022: Jinsi na Mahali pa Kutazama, na Mengineyo!
Tukio la Apple la WWDC 2022 lina tarajiwa kuanza Juni 6 . Tukio hili ambalo litakuwa litaoneshwa moja kwa moja mtandaoni kutoka Cupertino litajumuisha uzinduzi wa programu...