Fuatilia Live: Uzinduzi wa Samsung Galaxy S9 na S9 Plus

Kongamano la Mobile World Congress tayari limeanza na kampuni kadhaa zimeshatangaza simu zao. Fuatilia mubashara tamasha la uzinduzi wa Samsung Galaxy S9 na S9 Plus lililopewa jina la Samsung Galaxy Unpacked 2018

Usikose Kusoma:  Twitter sasa yatambua Kiswahili kama lugha rasmi

Maoni 1

Andika Maoni

Andika maoni yako
Andika jina lako hapa