Intel yaungana na Microsoft, HP, Dell, na Lenovo ili kuleta Chip za Laptops za 5G mwaka 2019

Microsoft ina jitihada ya kuwahimiza wazalishaji wa Computer kama washirika wa Mfumo endeshi wa Windows kushirikiana na intel kuleta Personal Computer (PC) zenye Chip za 5G mwaka 2019.

Intel inasema tayari wameshandaa Demo ya Computer yenye uwezo wa Core i5, Detachable 2 in one PC katika maonesho ya #MWC 2018 ambayo itakuwa inatumia Chip ya 5G ambayo itatumika kuonesha streaming kwa njia ya video kwenye mtandao wa 5G.

Endelea kuwa nasi kwa kutufuata kwenye mitandao ya kijamii, na usisahau ku subscribe ili uwe wa kwanza kupata Habari, Uchambuzi na Makala mbali mbali za kisayansi na teknolojia. Pia usisahau ku acha maoni yako hapo chini na unaweza kuwasiliana nasi kwa barua pepe [email protected]

WAWEZA SOMA:  air samoa waanza kutoza nauli kwa kutumia uzito wa mtu

2 MAONI

Andika Maoni

Andika maoni yako
Andika jina lako hapa