Jaribu Hii kuongeza Speed ya Computer yako ya zamani.

Una computer ya zamani yenye Ram at leat 512Mb? Storage kuanzia 70Gb? Computer yako ina Processor ndogo kama Intell Pentium 4 or M ambayo umeshindwa hata kuinstall angalau windows 7 ili uweze kuendelea kufanya kazi zako kama za kusoma email na kuhifadhi document zako?
Basi article hii ni kwa ajili yako wewe unaehitaji kuendana na ulimwengu wa kisasa ikiwa bado huna uwezo wa kununua PC nyingine lakini bado unahitaji kwenda na ulimwengu wa kisasa.Operating Sytem za zamani ikiwepo kama Windows XP ndio operationg System inayoweza kusupport kuinstall kwenye Computer ambazo zina Processor ndogo ambazo kwa miaka ya 2000< ndio zilikuwa zinagharama zaidi. Lakini bado kuna watu mpaka sasa wanahitaji kutumia PC zao za zamani kwa sababu tofauti tofauti ikiwemo Budget ya kushindwa kuafford kununua Pc mpya ambazo zinaweza kubeba Operating System Kubwa kama Windows 10, 7 or Windows 8 pia.
Nimekuletea hapa Chrome OS,  Operating System pekee inayoendana na mazingira ya kisasa yenye muonekano wa kisasa kama vile windows 10 au Mac OS Siera as well.Chrome OS ni operating system kutoka Google yenye uwezo mkubwa  wa kufanya mambo ya kisasa zaidi, kwenye PC ambayo angalau iwe na Ram ya 512Mb au zaidi, Storage ya Hard Disk isiyopungua 70Gb, na Processor ya at least 1.2Ghz.Ni Operating System pekee inayokuwezesha kukusaidia kuandika documents zako, Kusoma Emails na Kuplay videos, kuangalia Picha.Kipi Unahitaji?
  1. Pc au Laptop yako ya zamani (inayowaka)
  2. Flashdrive at leat 2Gb (4Gb itakuwa Vizuri zaidi)
  3. Computer yako ya zamani (Unayohitaji kuwekwa Chrome OS)
  4. Active Internet Connection (Kwa ajili ya kudownload .ISO image ya Chromium OS kama tayari unayo haina haja)
WAWEZA SOMA:  Facebook Express: Programu ambayo inaruhusu watu katika nchi zinazoendelea kupata Wi-Fi.
Download  Chrome os Kupitia Link hapoDownload       Rufus ambayo itakuwezesha kucreat USB DeviceInategemea na PC yako lakini unaweza kujua kuboot kwenye flash kwa kugoogle aina ya pc yako au kuangalia jinsi ya kuinstall youtube unaweza kuangalia video hapo chini jinsi ya kuinstall OS kama Chrome kwenye PC yako
https://youtu.be/fukOnhnnAMc
Tufuatilie kwenye mitandao mbali mbali ili usipitwe na Habari, Uchambuzi naMakala mbali mbali ya mitanadoni na ya kiteknolojia kwenye FacebookTwitterInstagram, Google+ na Youtube, Pia usisite kutoa maoni yako hapo chini au tuandikie barua pepe kwa mhariri@mtaawasaba.com

Andika Maoni

Andika maoni yako
Andika jina lako hapa