Wireless Storage: Njia rahisi ya kuhamisha Data kwenye simu yako ya android.

Data transfer imekuwa kikwazo kikubwa hasa katika file kubwa mfano file yenye kuanzia 1gb na zaidi inakuwa inachukua muda mrefu sana kutumia USB cable...

Ukifanya haya, Simu janja yako itakuwa salama

Simu ya mkononi kama ilivyo kompyuta zingine, ina mapungufu yake. Mara kadhaa ushasikia kuhusu app zinazoweza kuharibu simu yako au ishu za usalama wa...

Usitumie Wireless Charger kabla hujapitia hapa

Karibu mtaawasaba, mtaa wa uchambuzi wa mambo yote yahusuyo teknolojia, habari mbali mbali za kiteknolojia. Leo nimekuletea uzi huu uweze kujua kuhusu Wireless Charging,...

Google yafanya Mabadiliko katika Matokeo ya kutafuta Picha

Kwa hoja ambayo bila shaka itasumbua watu wengi, Google imeondoa kifungu cha kutazama Picha katika utafutaji wa picha Google. Ikiwa utatembelea Google Images na...

Njia rahisi ya kuzuia Automatic Updates za Windows 10

Sasisho za programu za Windows 10 hujiweka zenyewe kwenye kifaa chako cha Windows 10 moja kwa moja iwe unapenda au hupendi, lakini mwongozo huu...

Utaratibu wa kuhama Mtandao Bila kubadili Namba – Mobile Number Portability

Huduma ya MNP ina maana gani?Huduma ya kuhamia mtandao mwingine bila kubadili namba ya simu ya kiganjani (MNP), ina maana kuwa mtumiaji anabaki na...

Vifurushi vya internet visivyo rasmi kwa makampuni ya simu

Katika makala hii ntakuchambulia vifurushi visvyo rasmi kama vifurushi vya chuo au vifurushi maalum ambavyo vinatoa kiasi kikubwa cha internet, nitalist vifurushi ninavyovifahamu kama...

Jinsi ya kuflash simu zote zenye MediaTek chipset

Kama mwezi umepita nahangaika na TECNO ya mdogo wangu hapa nyumbani ambayo inajirestart kila muda mpaka betri iishe chaji, Nimehangaika nayo kwa mafundi lakini...

Jinsi ya kuangalia video za youtube na subtitle

ushawahi kuingia youtube na kukuta video nzuri ya tutorial au mziki ukaipenda lakini tatizo likaja ile video sio ya kingereza wala kiswahili ni lugha...

Jinsi ya ku-secure switch yako ya cisco

Tukija kwenye swala la network hakuna jambo la msingi kama kuweka network yako katika hali ya usalama. Tunapoongelea usalama wa network kwa kawaida wengi...
2,486MashabikiPoa
381Wafuasitufuate
38Wafuasitufuate
12WanachamaJiunge

Machapisho Mapya