Njia rahisi ya kuzuia Automatic Updates za Windows 10

Sasisho za programu za Windows 10 hujiweka zenyewe kwenye kifaa chako cha Windows 10 moja kwa moja iwe unapenda au hupendi, lakini mwongozo huu unaweza kukusaidia kudhibiti na kuamua wakati wa kuziweka.

Mfumo wa Uendeshaji wa Windows 10 huna udhibiti kamili juu ya sasisho za programu zake. Windows 10 ni kupakua na kuinstall moja kwa moja ili kuhakikisha kifaa chako kinaendelea kupata patches za hivi karibuni za usalama na maboresho. Ni jambo zuri kwa Kifaa chako kupata Sasisho mpya za usalama lakini kwa upande mwingine imekuwa kikwazo kwa baadhi ya watumiaji wa Mfumo huo wa uendeshaji hasa katika utumiaji wa Data.

Usikose Kusoma:  Maboresho mapya kwenye app ya Onedrive kutoka Microsoft

Ikiwa unatumia Mfumo wa uendeshaji wa Windows 10 inawezekana kurejesha udhibiti na kuzuia Mfumo wa uendeshaji kupakua na kusakinisha sasisho moja kwa moja kwa kutumia script hii ndogo na rahisi.

Video hii itakuelekeza njia hii rahisi

  1. Ipakue RAR file hii na extract kwenye desctop yako

  1. Run Auto-Update-Enable_Disable-Win10 na kisha itaomba ruhusa ya Administration ya Computer yako, utakubali kisha ubonyeze Y kwenye keyboard yako
  2. Bonyeza key yoyote kuondoka na mpaka hapo utakuwa tayari umefanikiwa kuzima sasisho za kujiinstall zenyewe kwenye mfumo wako wa uendeshaji.
Usikose Kusoma:  Kashfa ya Cambridge Analytica yafanya Facebook kuzindua programu kusafisha mipangilio yako ya faragha.

Tufuatilie kwenye mitandao mbali mbali ili usipitwe na Habari, Uchambuzi naMakala mbali mbali ya mitanadoni na ya kiteknolojia kwenye FacebookTwitterInstagram, Google+ na Youtube, Pia usisite kutoa maoni yako hapo chini au tuandikie barua pepe kwa mhariri@mtaawasaba.com

Andika Maoni

Andika maoni yako
Andika jina lako hapa