Nini cha kutarajia katika mkutano wa WWDC 2018

Apple wako tayari kwa ajili ya mkutano wa mwaka 2018 wa ma developer duniani kote maarufu kama Worldwide Developers Conference (WWDC) utakaofanyika Jose McEneryxf Convention Center...

Apple wazindua iPad mpya ya gharama nafuu yenye kusupport Apple pencil

Baada majuma kadhaa ya tetesi kuhusu Apple kuachia iPad mpya, leo Apple wamezindua rasmi tableti waliyoiita"iPad ya gharama nafuu kuliko zote" na itakuwa na...

[DEAL] Tigo kwa kushirikiana na Samsung, Infinix, na Tecno waja na wiki ya simu...

Akitangaza ushirikiano huo kabambe jijini Dar es Salaam, Meneja Mawasiliano wa Tigo, Woinde Shisael alisema kuwa Mobile Week itakayoanza 24 – 30 Machi wateja...

Fuatilia Live: Uzinduzi wa Samsung Galaxy S9 na S9 Plus

Kongamano la Mobile World Congress tayari limeanza na kampuni kadhaa zimeshatangaza simu zao. Fuatilia mubashara tamasha la uzinduzi wa Samsung Galaxy S9 na S9...

Samsung Galaxy S9: kuzinduliwa Februari 25

Ni muda sasa kumekuwa na tetesi za simu mpya kutoka kwa kampuni mashuhuri ya kutengeneza vifaa vya ki elektroniki ya Samsung. simu hizo ni...

TECNO kuja Na Camon CM January hii

Baada ya Kufanya vizuri katika Models za Camon kuanzia Tecno Camon C5, C7, C8, C9 na Camon CX, Sasa kampuni ya Tecno inaongeza toleo...

Doogee V: Smartphone ya kwanza 2018 yenye Fingerprint juu ya kioo

Kampuni ya kichina inayojihusisha na utengenezaji wa Simu, Imetangaza kuzindua hivi karibuni simu mpya ambayo itasupport fingerprint kuwekwa juu ya kioo!Kama ilivyokuwa Juni 2017...

The Wall: TV yenye ukubwa wa ajabu kutoka Samsung

Ni mashindano ya nani mwenye uwezo kutengeneza Televisheni kubwa, ambapo siku kadhaa kabla ya maonesho ya CES 2018 kuanza kampuni ya LG ilionesha TV...

Kutana na Kiatu Janja kwa ajili ya wazee

Teknolojia ya vifaa janja vinavovaliwa (wearables) inazidi kukua kila kukicha. Mwaka huu katika maonesho ya CES 2018 yanayoanza rasmi leo tarehe 8 mwezi wa...

LG waonesha TV kubwa zaidi duniani yenye teknolojia ya 8K

Kuelekea maonesho ya vifaa vya teknolojia ambayo hufanyika nchini Marekani. Kampuni ya Korea kusini ya LG ambayo ni mashuhuri kwa vifaa vya kielektroniki imeonesha...
2,496MashabikiPoa
374Wafuasitufuate
39Wafuasitufuate
11WanachamaJiunge

Machapisho Mapya