Facebook kuunganisha WhatsApp, Facebook Messenger na Instagram

Facebook ina mpango wa kuunganisha huduma za kutumiana jumbe za WhatsApp, Instagram na Facebook Messenger. Japo app zote tatu zitakuwa zikifanya kazi kwa kujitegemea,...

Facebook kuondoa kipengele cha Trending Topics hivi karibuni

 Facebook imeamua kuondoa kipengele cha Trending topics, habari imeandikwa kwenye blog ya mtandao huo wa kijamii wa Facebook. Kipengele icho cha Trending topics kilianzishwa...

Google washirikiana na Levi’s kutengeneza koti la kidigitali.

Google kama tuijuavyo imekuwa ikibuni bidhaa mbalimbali kwa miaka mingi sana vitu kama simu, tarakilishi mpakato (laptop), spika, VR goggles, vifaa vya masikioni (ear...

Huawei kuja na P20 iliyo na kamera tatu na notch kama ya iPhone X

Ushindani wa display notch bado unaendelea katika smartphones za android kuiga kutoka iPhone X, kampuni kama Asus, Doogee na OnePlus ni kampuni ambazo zimeiga...

Twitter ina mpango wa kuruhusu mtu yeyote kuwa verified

Akizungumza kupitia huduma ya Twitter ya Periscope Livestream, bwana Jack Dorsey ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Twitter amesema kwamba wako mbioni kuruhusu watumiaji wote...

Kiwanda cha Simu za Mkononi kuzinduliwa Zanzibar

Siku chache zijazo Zanzibar inatarajia kujenga Kiwanda cha kuunganisha na kutengeneza simu za mkononi na kusaidia kuongeza ajira kwa wananchi wa visiwa hivyo.Kutoka katika...

Kampuni ya Uganda kushirikiana na Google yazindua simu mpya ya Android – Mara...

Mara Corporation Limited (MC)kampuni kutoka Uganda imeungana na Goolgle kuzindua simu ya Android One iitwayo Mara X, kwa soko la Afrika , tukio hilo...

Apple ina Mpango wa kutoa MacBook Air za bei nafuu mwaka huu

Kampuni ya Apple inatarajia kutoa Macbook Air za inch 13 kwa bei ya chini ukilinganisha na bei za sasa,(Kwa sasa MacBook Air 13'' inauzwa...

Android Go Edition: Android Oreo kwa simu za hali ya Chini

Kampuni ya Google imetangaza kuungana na makampuni ya kuzalisha simu kutoa Mfumo Endeshi wa simu za mkononi Android Go Edition kwa simu zilizo na...

Google yafanya Mabadiliko katika Matokeo ya kutafuta Picha

Kwa hoja ambayo bila shaka itasumbua watu wengi, Google imeondoa kifungu cha kutazama Picha katika utafutaji wa picha Google. Ikiwa utatembelea Google Images na...
2,492MashabikiPoa
379Wafuasitufuate
40Wafuasitufuate
11WanachamaJiunge

Machapisho Mapya