Facebook kuunganisha WhatsApp, Facebook Messenger na Instagram

Facebook ina mpango wa kuunganisha huduma za kutumiana jumbe za WhatsApp, Instagram na Facebook Messenger. Japo app zote tatu zitakuwa zikifanya kazi kwa kujitegemea,...

Maboresho mapya kwenye app ya Onedrive kutoka Microsoft

Sasa unaweza kufungua application ya Onedrive kwa kutumia uthibitishaji wa vidole (Fingerprint).OneDrive ya Microsoft ni program ya uhifadhi wa cloud inayokuwezesha kuhifadhi, picha, nakala,...

Bakhresa kuja na Azam Telecom

Akizungumza na gazeti la kila siku la The Citizen,  Mkurugenzi wa Mambo ya Nje wa kampuni ya Bakhresa Group, bwana Hussein Sufian Ally amesema kundi...

Hizi features mpya utazipata utakapo update Android Oreo kwenye Galaxy S8 na S8 Plus.

Hivi karibuni kampuni ya Samsung ilitangaza kutoa updates mpya kwenye vifaa vya Samsung S8 na S8 Plus. Kabla ya kutoa official update ya android...

Kampuni za simu kuboresha usajili wa wateja kwa kutumia alama za vidole

Leo karibu mitandao yote ya simu nchini Tanzania imekuwa ikituma ujumbe mfupi wa maneno kwa wateja wao unaosema “Ndugu mteja katika kuboresha usajili wa...

Utaratibu wa kuhama Mtandao Bila kubadili Namba – Mobile Number Portability

Huduma ya MNP ina maana gani?Huduma ya kuhamia mtandao mwingine bila kubadili namba ya simu ya kiganjani (MNP), ina maana kuwa mtumiaji anabaki na...

Kampuni ya Apple inatarajia kuongeza kipengele cha FaceID kwenye kifaa cha iPad

Simu ya kwanza kuzinduliwa ikiwa na kipengele cha ulinzi cha FaceID ni iPhoneX wengine wanaita iPhone 10, Japo bado hazijaanza kununuliwa Official kwenye store...

Sasa unaweza kutwiti mpaka herufi 280

Kama wewe ni mtumiaji mzuri wa mitandao ya kijamii hasa Twitter utakuwa unajua ugumu ya kuelezea hisia zako kwa herufi 140 pekee. Sasa kampuni...

Google yanunua sehemu ya HTC kwa dola bilioni 1.1

Hatimae yamekuwa, yale yaliyokuwa yakizungumzwa kwa miezi kadhaa kuhusu google kuinunua HTC, jana HTC imetangaza kuwa Google imenunua vipaji kutoka kwenye kampuni hiyo kwa...

Vifurushi vya internet visivyo rasmi kwa makampuni ya simu

Katika makala hii ntakuchambulia vifurushi visvyo rasmi kama vifurushi vya chuo au vifurushi maalum ambavyo vinatoa kiasi kikubwa cha internet, nitalist vifurushi ninavyovifahamu kama...
2,492MashabikiPoa
378Wafuasitufuate
40Wafuasitufuate
11WanachamaJiunge

Machapisho Mapya