Tigo, Selcom na Mastercard waungana kuleta huduma ya Masterpass QR nchini Tanzania

Tigo Tanzania kupitia huduma yake ya Tigo Pesa wameungana na kampuni ya malipo kwa njia ya kielektroniki ya Selcom na Mastercard kuleta huduma ya...

Hii hapa iPhoneX ya Android imetangazwa huko MWC

Leo kampuni ya ASUS imetangaza toleo lake jipya la simu aina ya ASUS ZENFONE 5 ambayo ina umbo kama la iPhone X. Akiongea katika...

Uchambuzi: Samsung Galaxy S9 na S9 Plus, Muonekano, Bei na Features mpya

Leo Tarehe 25 Februari 2018 katika Maonesho ya Simu ya MWC Kampuni ya Samsung imezindua Simu mbili mpya Samsung Galaxy S9 na Samsung Galaxy...

Nokia 1 yenye Android Oreo (Go edition) yazinduliwa kwenye kongamano la MWC

Tayari kongamano la MWC 2018 limeanza na makampuni yameanza kutangaza bidhaa wanazozindua, na MHD Global wameanza kwa kutangaza Nokia 1, ambayo ni simu ya...

Fuatilia Live: Uzinduzi wa Samsung Galaxy S9 na S9 Plus

Kongamano la Mobile World Congress tayari limeanza na kampuni kadhaa zimeshatangaza simu zao. Fuatilia mubashara tamasha la uzinduzi wa Samsung Galaxy S9 na S9...

Nokia 8110 yarudi ikiwa na 4G, Facebook na kifuniko cha Matrix

Pamoja na simu zingine 4, kampuni iliyo nyuma ya utengenezaji wa simu za Nokia ya HMD Global imezindua simu ya Nokia 8110 (ambayo ilipewa...

Kutoka MWC 2018: HMD Global yazindua simu nne za Nokia kwa mpigo

HMD Global kampuni inayotengeneza simu za Nokia leo imezindua simu nne kwa mpigo ikiwemo Flagship yake ya kwanza tangu waanze kutengeneza simu zenye nembo...

Intel yaungana na Microsoft, HP, Dell, na Lenovo ili kuleta Chip za Laptops za...

Microsoft ina jitihada ya kuwahimiza wazalishaji wa Computer kama washirika wa Mfumo endeshi wa Windows kushirikiana na intel kuleta Personal Computer (PC) zenye Chip...

LG kuzindua matoleo mapya ya K8 na K10 kwenye kongamano la MWC 2018

Kampuni ya simu ya LG Electronics kutoka Korea kusini imetangaza leo kupitia blogu ya LG Newsroom itazindua matoleo mapya ya simu mbili ambazo ni...

Samsung Experience 9.0 yaja na maboresho ya Emoji

Kutegemeana na aina ya simu unayotumia, utagundua kuwa kuna tofauti katika Emoji zinazopatikana, ni utaratibu wa kawaida kwa watengenezaji wa simu kutengeneza Emoji za...
2,496MashabikiPoa
374Wafuasitufuate
39Wafuasitufuate
11WanachamaJiunge

Machapisho Mapya