Simu Tano za Samsung za bei nafuu unazoweza kununua 2018.

Mwandishi Diana Benedict

Katika uchaguzi wa simu, Huwa kuna mambo mengi ya kuzingatia, Watu wengi wanapofanya chaguzi za simu huwa wanaangalia sana Ukubwa wa uhifadhi (storage), RAM na ukubwa wa kioo.

Nimekuletea simu tano kutoka Samsung ambazo ni za bei rahisi kununua sasa Tanzania.

  1. Samsung Galaxy A8 (2018)

thumb 120708 default big

Samsung Galaxy A8 2018 ni toleo jipya la simu kutoka kampuni ya samsung iliyotoka mwaka 2018 yenye umbo ambalo linaendana na Simu ya Samsung S9, Naweza kusema kwa ambao watashindwa kununua simu ya S9 basi simu hii ni chaguo zuri kwao.

Hizi ni Sifa ilizonazo Samsung A8 2018.

MTANDAOTeeknolijiaGSM / HSPA / LTE
2G bandsGSM 850 / 900 / 1800 / 1900 – SIM 1 & SIM 2 (dual-SIM model only)
3G bandsHSDPA 850 / 900 / 1700(AWS) / 1900 / 2100
4G bandsLTE band 1(2100), 2(1900), 3(1800), 4(1700/2100), 5(850), 7(2600), 8(900), 12(700), 13(700), 17(700), 18(800), 19(800), 20(800), 26(850), 28(700), 38(2600), 40(2300), 41(2500), 66(1700/2100)
KasiHSPA 42.2/5.76 Mbps, LTE-A (3CA) Cat11 600/75 Mbps
GPRSNdio
EDGENdio
UZINDUZIImetangazwa2017, December
SasishoInapatikana madukani tangu Januari 2018
BODYKipimo/Ukubwa149.2 x 70.6 x 8.4 mm (5.87 x 2.78 x 0.33 in)
Uzito172 g (6.07 oz)
Imetengenezwa kwa;Front/back glass, aluminum frame
SIMSingle SIM (Nano-SIM) or  SIM Card Mbili (Nano-SIM, dual stand-by)
– Samsung Pay
– IP68 certified – dust/water proof zaidi ya 1.5 meter and 30 minutes
KIONYESHOAinaSuper AMOLED capacitive touchscreen, 16M colors
Ukubwa5.6 inches, 79.6 cm2 (~75.6% screen-to-body ratio)
Azimio1080 x 2220 pixels, 18.5:9 ratio (~441 ppi density)
MultitouchNdio
UlinziCorning Gorilla Glass (unspecified version)
– Always-on display
JUKWAA LA USIMAMIZIMfumo EndeshiAndroid 7.1.1 (Nougat)
ChipsetExynos 7885 Octa
CPUOcta-core (2×2.2 GHz Cortex-A73 & 6×1.6 GHz Cortex-A53)
GPUMali-G71
KUMBUKUMBUCard slotmicroSD, up to 256 GB (Slot ya pembeni)
 Ukubwa wa Ndani32/64 GB, 4 GB RAM
KAMERANyuma16 MP (f/1.7, 1/2.8”, 1.12 µm), phase detection autofocus, LED flash
Vipengele vya KameraGeo-tagging, touch focus, face detection, panorama, HDR
Video1080p@30fps,
MbeleDual: 16 MP (f/1.9, 1/3.1”, 1.0 µm) + 8 MP (f/1.9, 1/4.0”, 1.12 µm), 1080p
SAUTIAina ya TahadhariVibration; MP3, WAV ringtones
LoudspeakerNdio
3.5mm Headphone jackNdio
– 24-bit/192kHz audio
– Active noise cancellation with dedicated mic
VIUNGANISHIWLANWi-Fi 802.11 a/b/g/n/ac, dual-band, WiFi Direct, hotspot
Bluetooth5.0, A2DP, EDR, LE
GPSYes, with A-GPS, GLONASS, BDS
NFCYes
RadioFM radio
USB2.0, Type-C 1.0 reversible connector
VIPENGELESensaFingerprint (Iliyowekwa Nyuma), accelerometer, gyro, proximity, compass, barometer
MessagingSMS(threaded view), MMS, Email, Push Mail, IM
KivinjariHTML5
– Fast battery charging
– ANT+ support
– MP4/WMV/H.265 player
– MP3/WAV/WMA/eAAC+/FLAC player
– Photo/video editor
– Document viewer
BETRIBerti isiyotoka (Non-removable) Li-Ion 3000 mAh
Mda wa KuongeaZaidi ya Masaa 24 (3G)
Kucheza MzikiZaidi ya Masaa 66
MENGINEYORangiBlack, orchid grey, gold, blue
SAR EU0.24 W/kg (head)     1.25 W/kg (body)
Bei/GharamaKama TZS 950,789/=
MAJARIBIOUwezoBasemark OS II: 2067 / Basemark OS II 2.0: 2007
Basemark X: 15299
KionyeshoContrast ratio: Infinity (nominal), 3.842 (sunlight)
Spika ya SautiVoice 69dB / Noise 70dB / Ring 81dB
Ubora wa SautiNoise -92.1dB / Crosstalk -90.0dB
Uwezo wa Betri
Inastahimili hadi masaa 92

Simu ya Samsung A8 2018 Imeundwa ka Aluminium Body na uwezo a kustahimili kukaa na charg hadi masaa 92, ni dhahiri kwamba ni simu Affordable kwa Tanzania.

Zitapatikana karibuni kupitia Duka la mtaawasaba.

  1. Samsung J7 Pro

Hii ni simu iliyozinduliwa mwaka 2017 June lakini bado ni simu ambayo iko kwenye chat na simu inayouzwa zaidi hasa katika maduka ya kariakoo, na ni simu inayosifika sna kutunza umeme kwa muda mrefu na nisimu ambayo inadumu bila kuleta shida yoyote. Hebu itazame hapa Specification zake;

MTANDAOTeknolojiaGSM / HSPA / LTE
2G bandsGSM 850 / 900 / 1800 / 1900 – SIM 1 & SIM 2 (kwa sim card mbili)
3G bandsHSDPA 850 / 900 / 1700(AWS) / 1900 / 2100
4G bandsLTE band 1(2100), 2(1900), 3(1800), 4(1700/2100), 5(850), 7(2600), 8(900), 12(700), 17(700), 20(800), 28(700), 38(2600), 40(2300), 41(2500), 66(1700/2100)
SpeedHSPA 42.2/5.76 Mbps, LTE-A (2CA) Cat6 300/50 Mbps
GPRSNdio
EDGENdio
UZINDUZIImetangazwa2017, June
SasishoInapatikana madukani tangu mwaka 2017
BODYKipimo/ Ukubwa152.5 x 74.8 x 8 mm (6.00 x 2.94 x 0.31 in)
Uzito181 g (6.38 oz)
Imetengenezwa kwaFront glass, Body ya aluminium
SIMSIM Moja (Nano-SIM) au SIM Card Mbili (Nano-SIM)
KIONYESHOAinaSuper AMOLED capacitive touchscreen, 16M colors
Ukubwa5.5 inches, 83.4 cm2 (~73.1% screen-to-body ratio)
Azimio1080 x 1920 pixels, 16:9 ratio (~401 ppi density)
MultitouchNdio
– Always-on display
JUKWAAMfumo EndeshiAndroid 7.0 (Nougat)
ChipsetExynos 7870 Octa
CPUOcta-core 1.6 GHz Cortex-A53
GPUMali-T830 MP1
KUMBUKUMBUSlotiya KadimicroSD, zaidi ya 256 GB
Ndani32/64 GB, 3 GB RAM
KAMERANyuma13 MP, f/1.7, autofocus, LED flash
VipengeleGeo-tagging, touch focus, face detection, panorama, HDR
Video1080p@30fps,
Mbele13 MP, f/1.9, LED flash, 1080p
SAUTIAina ya TahadhariVibration; MP3, WAV ringtones
Spika ya SautiNdio
3.5mm jackNdio
VIUNGANISHIWLANWi-Fi 802.11 a/b/g/n/ac, dual-band, WiFi Direct, hotspot
Bluetooth4.1, A2DP, LE
GPSNdio, with A-GPS, GLONASS, BDS
NFCNdio
RadioFM radio
USBmicroUSB 2.0, USB On-The-Go
VIPENGELESensorsFingerprint (Mbele chini ya kioo), accelerometer, gyro, proximity, compass
MessagingSMS(threaded view), MMS, Email, Push Mail, IM
KivinjariHTML5
– ANT+ support
– MP4/WMV/H.264 player
– MP3/WAV/WMA/eAAC+/FLAC player
– Photo/video editor
– Document viewer
BERTIBetri Isiyotoka (Non-removable) Li-Ion 3600 mAh
Muda wa kuongea na simuUp to 24 h (3G)
Kucheza MzikiUp to 91 h
MENGINEYORangiBlack, Blue, Gold, Rose Gold
SAR0.71 W/kg
SAR EU0.57 W/kg     1.33 W/kg (body)
BeiTZS 720,000/=
MAJARIBIOUwezoBasemark OS II: 1172 / Basemark OS II 2.0: 1038
Basemark X: 5497
KionyeshoContrast ratio: Infinite (nominal), 3.998 (sunlight)
Spika ya SautiVoice 68dB / Noise 69dB / Ring 82dB
Ubora wa SautiNoise -92.7dB / Crosstalk -92.4dB
Uezo wa Betri
Inastahimili zaidi ya masaa 107

Simu hii ya Samsung J7 Pro inapatikana maduka mengi hapaTanzania na inauzwa ka bei nafuu isiyozidi 750,000/= hadi 650,000/= ni simu nzuri sana kwa matumizi ya kawaida na hasa kwa wale tunaopenda kutumia sim card mbili kwenye simu moja.

Simu hii pia utakuwa kunapatikana kwenye duka la mtaawasaba hivi karibuni

3. Samsung J5 Pro

J5Pro Full Black

Simu nyingine ambayo mtaawasba imeweza kuiona ni simu ya Samsung J5 Pro ambayo imetoka mwaka 2017, Simu hii ni kati ya simu ambazoniza bei nafuu na ni simu nzuri kutumiwa wakati wote, Yenye body ya aluminium nyuma yake, na kamera nzuri yenye uezo wa kupiga picha hata kwenye mwanga mdogo, Naweza semaukiacha J7 Pro basi J5 pro ndo chaguo linalofata.

Na hizi ndio sifa zake

MTANDAOTeknolojiaGSM / HSPA / LTE
2G bandsGSM 850 / 900 / 1800 / 1900 – SIM 1 & SIM 2 (kwa sim card mbili)
3G bandsHSDPA 850 / 900 / 1700(AWS) / 1900 / 2100
4G bandsLTE band 1(2100), 2(1900), 3(1800), 4(1700/2100), 5(850), 7(2600), 8(900), 12(700), 17(700), 20(800), 28(700), 38(2600), 40(2300), 41(2500), 66(1700/2100)
SpeedHSPA 42.2/5.76 Mbps, LTE-A (2CA) Cat6 300/50 Mbps
GPRSNdio
EDGENdio
UZINDUZIImetangazwa2017, June
SasishoInapatikana madukani tangu mwaka 2017, July
BODYKipimo/ Ukubwa146.2 x 71.3 x 8 mm (5.76 x 2.81 x 0.31 in)
Uzito160 g (6.38 oz)
Imetengenezwa kwaFront glass, Body ya aluminium
SIMSIM Moja (Nano-SIM) au SIM Card Mbili (Nano-SIM)
KIONYESHOAinaSuper AMOLED capacitive touchscreen, 16M colors
Ukubwa5.2 inches, 74.5 cm2 (~71.5% screen-to-body ratio)
Azimio720 x 1280 pixels, 16:9 ratio (~282 ppi density)
MultitouchNdio
– Always-on display
JUKWAAMfumo EndeshiAndroid 7.0 (Nougat)
ChipsetExynos 7870 Octa
CPUOcta-core 1.6 GHz Cortex-A53
GPUMali-T830 MP1
KUMBUKUMBUSlotiya KadimicroSD, zaidi ya 256 GB
Ndani
16 GB, 2 GB RAM – Kimataifa
32 GB, 2 GB RAM – LATAM, SEA
32 GB, 3 GB RAM – Pro edition
KAMERANyuma13 MP, f/1.7, autofocus, LED flash
VipengeleGeo-tagging, touch focus, face detection, panorama, HDR
Video1080p@30fps,
Mbele13 MP, f/1.9, LED flash, 1080p
SAUTIAina ya TahadhariVibration; MP3, WAV ringtones
Spika ya SautiNdio
3.5mm jackNdio
VIUNGANISHIWLANWi-Fi 802.11 a/b/g/n/ac, dual-band, WiFi Direct, hotspot
Bluetooth4.1, A2DP, LE
GPSNdio, with A-GPS, GLONASS, BDS
NFCNdio
RadioFM radio
USBmicroUSB 2.0, USB On-The-Go
VIPENGELESensorsFingerprint (Mbele chini ya kioo), accelerometer, gyro, proximity, compass
MessagingSMS(threaded view), MMS, Email, Push Mail, IM
KivinjariHTML5
– ANT+ support
– MP4/WMV/H.264 player
– MP3/WAV/WMA/eAAC+/FLAC player
– Photo/video editor
– Document viewer
BERTIBetri Isiyotoka (Non-removable) Li-Ion 3600 mAh
Muda wa kuongea na simuUp to 21 h (3G)
Kucheza MzikiUp to 83 h
MENGINEYORangiBlack, Blue,  na Gold
SAR0.71 W/kg
SAR EU0.57 W/kg     1.33 W/kg (body)
BeiTZS 450,000/=
MAJARIBIOUwezoBasemark OS II: 1172 / Basemark OS II 2.0: 1038
Basemark X: 5497
KionyeshoContrast ratio: Infinite (nominal), 3.998 (sunlight)
Spika ya SautiVoice 68dB / Noise 69dB / Ring 82dB
Ubora wa SautiNoise -92.7dB / Crosstalk -92.4dB
Uezo wa Betri
Inastahimili zaidi ya masaa 97

Kwa bei ya Sh 420,000/= na sifa ilizonazo ni simu ya bei nafuu kutumia na ukaaji wa charg mzuri hata ukiwa safarini ni simu ambayo itakufanya safari yako uione fupi.

J5 Pro 2017 nayo itaanza kuuzwa kwenye duka la mtaawasaba hivi karibuni

  1. Samsung J5 Prime

Galaxy J7 2017 1

Nisimu Iliyozinduliwa mwaka 2016,Lakini bado ni simu ambayo iko kwenye chat hasa katika soko la Tanzania, Uwezo wa Betri,Kioo cha lcd ndio kimefanya simu hii kuuzwa bei ya chini zaidi. Itazame Specs Zake hapa

MTANDAOTeknolojiaGSM / HSPA / LTE
2G bandsGSM 850 / 900 / 1800 / 1900 – SIM 1 & SIM 2 (kwa sim card mbili)
3G bandsHSDPA 850 / 900 / 1700(AWS) / 1900 / 2100
4G bandsLTE band 1(2100), 2(1900), 3(1800), 4(1700/2100), 5(850), 7(2600), 8(900), 12(700), 17(700), 20(800), 28(700), 38(2600), 40(2300), 41(2500), 66(1700/2100)
SpeedHSPA 42.2/5.76 Mbps, LTE-A (2CA) Cat6 300/50 Mbps
GPRSNdio
EDGENdio
UZINDUZIImetangazwa2016, Septemba
SasishoInapatikana madukani tangu mwaka 2016 Octoba
BODYKipimo/ Ukubwa146.2 x 71.3 x 8 mm (5.76 x 2.81 x 0.31 in)
Uzito160 g (6.38 oz)
Imetengenezwa kwaFront glass, Body ya aluminium
SIMSIM Moja (Nano-SIM) au SIM Card Mbili (Nano-SIM)
KIONYESHOAinaSuper AMOLED capacitive touchscreen, 16M colors
Ukubwa5.2 inches, 74.5 cm2 (~71.5% screen-to-body ratio)
Azimio720 x 1280 pixels, 16:9 ratio (~282 ppi density)
MultitouchNdio
 UlinziCorning Gorilla Glass (Inategemea na eneo)
JUKWAAMfumo EndeshiAndroid 6.0.1 (Marshmallow), Unaweza upgrade hadi 7.0 (Nougat)
ChipsetExynos 7570 Quad
CPUQuad-core 1.4 GHz Cortex-A53
GPUMali-T720 MP2
KUMBUKUMBUSlotiya KadimicroSD, zaidi ya 256 GB
Ndani16/32 GB, 2 GB RAM
KAMERANyuma13 MP (f/1.9, 28mm), autofocus, LED flash
VipengeleGeo-tagging, touch focus, face detection, panorama, HDR
Video1080p@30fps,
Mbele5 MP, f/2.2
SAUTIAina ya TahadhariVibration; MP3, WAV ringtones
Spika ya SautiNdio
3.5mm jackNdio
VIUNGANISHIWLANWi-Fi 802.11 a/b/g/n/ac, dual-band, WiFi Direct, hotspot
Bluetooth4.2, A2DP, LE
GPSNdio, with A-GPS, GLONASS, BDS
NFCNdio
RadioFM radio
USBmicroUSB 2.0, USB On-The-Go
VIPENGELESensorsFingerprint (Mbele chini ya kioo), accelerometer, gyro, proximity, compass
MessagingSMS(threaded view), MMS, Email, Push Mail, IM
KivinjariHTML5
– ANT+ support
– MP4/WMV/H.264 player
– MP3/WAV/WMA/eAAC+/FLAC player
– Photo/video editor
– Document viewer
BERTIBetri Isiyotoka (Non-removable) Li-Ion 3600 mAh
Muda wa kuongea na simuUp to 16 h (3G)
Kucheza MzikiUp to 54 h
MENGINEYORangiBlack, Blue,  na Gold
SAR0.71 W/kg
SAR EU0.57 W/kg     1.33 W/kg (body)
BeiTZS 420,000/=

Kwa bei ya sh 420,000/= simu hii ni ya bei rahisi, yenye ulinzi wa fingerprint

Utaipata kwenye duka la mtaawasaba hivi

  1. Samsung J2 Pro 2018

7e6c2ee10a2e92cfdaaaf5def71bae48

Ni simu iliyotoka mwaka 2018, na ya bei nafuu kununuliwa, Specification zake hizi,

MTANDAOTeknolojiaGSM / HSPA / LTE
2G bandsGSM 850 / 900 / 1800 / 1900 – SIM 1 & SIM 2 (kwa sim card mbili)
3G bandsHSDPA 850 / 900 / 1700(AWS) / 1900 / 2100
4G bandsLTE band 1(2100), 2(1900), 3(1800), 4(1700/2100), 5(850), 7(2600), 8(900), 12(700), 17(700), 20(800), 28(700), 38(2600), 40(2300), 41(2500), 66(1700/2100)
SpeedHSPA 42.2/5.76 Mbps, LTE-A (2CA) Cat6 300/50 Mbps
GPRSNdio
EDGENdio
UZINDUZIImetangazwa2016, Septemba
SasishoInapatikana madukani tangu mwaka 2016 Octoba
BODYKipimo/ Ukubwa143.8 x 72.3 x 8.4 mm (5.66 x 2.85 x 0.33 in)
Uzito153 g (6.38 oz)
Imetengenezwa kwaFront glass, Body ya aluminium
SIMSIM Moja (Nano-SIM) au SIM Card Mbili (Nano-SIM)
KIONYESHOAinaSuper AMOLED capacitive touchscreen, 16M colors
Ukubwa5.0 inches, 68.9 cm2 (~66.3% screen-to-body ratio)
Azimio540 x 960 pixels, 16:9 ratio (~220 ppi density)
MultitouchNdio
 UlinziCorning Gorilla Glass (Inategemea na eneo)
JUKWAAMfumo EndeshiAndroid 6.0.1 (Marshmallow), Unaweza upgrade hadi 7.0 (Nougat)
ChipsetExynos 7570 Quad
CPUQuad-core 1.4 GHz Cortex-A53
GPUMali-T720 MP2
KUMBUKUMBUSlotiya KadimicroSD, zaidi ya 256 GB
Ndani16 GB, 1.5 GB RAM
KAMERANyuma8 MP, f/2.2, autofocus, LED flash
VipengeleGeo-tagging, touch focus, face detection, panorama, HDR
Video1080p@30fps,
Mbele5 MP, f/2.2, LED flash
SAUTIAina ya TahadhariVibration; MP3, WAV ringtones
Spika ya SautiNdio
3.5mm jackNdio
VIUNGANISHIWLANWi-Fi 802.11 a/b/g/n/ac, dual-band, WiFi Direct, hotspot
Bluetooth4.2, A2DP, LE
GPSNdio, with A-GPS, GLONASS, BDS
NFCNdio
RadioFM radio
USBmicroUSB 2.0, USB On-The-Go
VIPENGELESensorsSensa ya kioo
MessagingSMS(threaded view), MMS, Email, Push Mail, IM
KivinjariHTML5
– ANT+ support
– MP4/WMV/H.264 player
– MP3/WAV/WMA/eAAC+/FLAC player
– Photo/video editor
– Document viewer
BERTI
Betri inayotoka Li-Ion 2600 mAh battery
Muda wa kuongea na simuUp to 18 h (3G)
Kucheza MzikiUp to 60 h
MENGINEYORangiBlack, Blue,  na Gold
SAR0.71 W/kg
SAR EU0.57 W/kg     1.33 W/kg (body)
BeiTZS 290,000/=

Samsung J2 2018 inapatikana kwa bei isiyozidi laki tatu bei ambayo inaaffordable kwa mtanzania wa kawaida.

Ahsante kwa kufuatilia kwa kina makala hii, Pia usisiste kutoa maoni yako hapo chini, Pia Subscribe katika Chanel yetu ya Youtube https://youtube.com/mtaawasaba?sub_confirmation=1 uweze kupata makala za kila wiki kupitia youtube.

Mwandishi Diana Benedict Mwandishi
Mitandao ya Kijamii
Diana Benedict. Digital Creator | IT Specialist | Graphics Designer | Web Designer | Web SEO | Contents Management | UI/UX Designer and Social Media Management.
1 Comment

Trending on Mtaawasaba

Receive Mtaawasaba notifications Click ‘Receive,’ then ‘Allow’ when prompted. Dismiss Receive