Hizi features mpya utazipata utakapo update Android Oreo kwenye Galaxy S8 na S8 Plus.

Hivi karibuni kampuni ya Samsung ilitangaza kutoa updates mpya kwenye vifaa vya Samsung S8 na S8 Plus. Kabla ya kutoa official update ya android...

Android Go Edition: Android Oreo kwa simu za hali ya Chini

Kampuni ya Google imetangaza kuungana na makampuni ya kuzalisha simu kutoa Mfumo Endeshi wa simu za mkononi Android Go Edition kwa simu zilizo na...

Kampuni za simu kuboresha usajili wa wateja kwa kutumia alama za vidole

Leo karibu mitandao yote ya simu nchini Tanzania imekuwa ikituma ujumbe mfupi wa maneno kwa wateja wao unaosema “Ndugu mteja katika kuboresha usajili wa...

Siri ya TECNO kuongoza zaidi ya Asilimia 50% kuuza bidhaa nyingi Tanzania.

Kampuni ya TECNO ni kampuni ya Kichina inayojohusisha na uzalishaji wa bidhaa za kielectroniki hususani simu za mkononi.Kampuni ya Tecno ilianzishwa mnamo mwaka 2006...

Sony Xperia XA2, XA2 Ultra na L2 zazinduliwa rasmi kwenye maonesho ya CES 2018

Kampuni ya Sony imezindua simu tatu Xperia XA2, XA2 Ultra and L2 ambazo ni mid-range kwenye maonesho yanayoendelea huko Las Vegas.Simu hizo zenye kamera...

Uchambuzi: Sifa na Bei ya Nokia 6 (2018)

Tayari Nokia wameshazindua simu ya Nokia 6 (2018) inayotengenezwa kwa leseni na kampuni ya HMD Global. Unaweza soma makala inayohusu uzinduzi huo hapa. Hebu...

Kipya kutoka Tecno: Phantom 8 na Phantom 8 Plus?

Mwisho wa mwaka Makampuni kama Apple, Samsung, HTC na Google walizindua vifaa vyao vipya kwa wateja wake. Kwa upande mwingine Kampuni inayoongoza kwa kuuza...

Ifahamu simu ya Samsung Galaxy Note 8

Mwanzoni mwa mwezi wa tisa mwaka huu kampuni ya Samsung ilizindua simu yake aina ya Samsung Galaxy Note 8. Nimekusogezea hapa uweze kuitambua kiundani Zaidi...

Simu pekee kwa ajili ya makundi maalum katika jamii

ni kawaida kuona watu muda wote wakizungumzia makampuni makubwa ya simu kama apple na samsung wakati wanapotaka kuchagua simu na kusahau simu wanayohitaji ni...

Nokia wazindua feature phone mbili mwc, Nokia 105 na Nokia 301

Nkama we ni mpenzi wa simu ambazo sio smartphone, simu ndogo zinazokaa na charge simu ambazo ni rahisi kutumia basi hizi zinakuhusu,   leo...
2,486MashabikiPoa
381Wafuasitufuate
38Wafuasitufuate
12WanachamaJiunge

Machapisho Mapya