T-shirt ya Mtaawasaba

Haya tena ndugu wasomaji wetu, Mwezi huu tunawapa zawadi ya T-shirt nzuri ya Mtaawasaba.com,

Unachotakiwa kufanya ni:

  1. Tembelea kila siku mtaawasaba.com
  2. Like ukurasa wetu Facebook, Tufuate Twitter na Instagram
  3. Chagua makala yoyote kisha isambaze kwenye mitandao ya kijamii’
  4. Mwisho kabisa tuandikie maoni yako kwenye uwanja wa ujumbe hapo chini

Washindi wote watatangazwa mwisho wa mwezi huu wa Februari kupitia ukurasa wetu wa Twitter

 

2 MAONI

Andika Maoni

Andika maoni yako
Andika jina lako hapa