Umoja wa Ulaya waishinikiza Apple kuruhusu maduka mbadala ya programu kwenye iPhones na iPads
Ni mwaka mmoja tangu kuungurama kwa kesi kati ya kampuni Michezo ya Epic Games dhidi ya Apple kuhusu duka lake…
Elon Musk ametangaza rasmi vita na Apple
Mtu tajiri zaidi duniani na mmiliki wa Twitter, Bilionea Elon Musk ametangaza rasmi vita na Apple, kampuni kubwa zaidi ya…
Tovuti ya iCloud ya Apple yapata muonekano mpya, inavutia zaidi.
Muonekano wa iCloud kwa muda sasa umeonekana kupitwa na wakati, huku ukiwa na muonekano wa maleo ya nyuma ya iOS.…
Apple inakabiliwa na kesi ya kukusanya taarifa kwenye simu za iPhone bila idhini
Apple inakabiliwa na kesi ya kukusanya taarifa kwenye simu za iPhone bila idhini, wakati huu kutokana na madai kuwa inafuatilia…
WWDC 2022: MacBook Air yenye Chip ya Apple M2 Yatangazwa
Moja ya matangazo makubwa leo siku ya kwanza ya WWDC 2022 ni pamoja na, hatimaye MacBook Air yenye Chip ya…
iOS 16 Imezinduliwa kwenye WWDC 2022
iOS 16, ndio toleo jipya la mfumo endeshi wa simu za iPhone kutoka Apple. iOS 16 Imezinduliwa kwenye WWDC 2022,…
iPhone 15 hatimaye inaweza kuja na chaja ya USB-C
Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa mchambuzi Ming-Chi Kuo, iPhone 15 hatimaye inaweza kuja na chaja ya USB-C badala ya…
Kwa heri iPod. Apple yasitisha rasmi uzalishaji wa iPod
Baada ya karibu miaka 21, iPod hatimaye imefikia mwisho wake. iPod ya kwanza kabisa ilitolewa Oktoba 23, 2001 na sasa…
Apple, Google na Microsoft zinaungana ili kuwezesha kutumia huduma bila nenosiri
Kampuni kubwa za teknolojia za Apple, Google na Microsoft zinaungana ili kuwezesha watumiaji kutumia huduma bila nenosiri. Taarifa hii ilitangazwa…
Apple inaondoa programu ambazo hazijasasishwa kwa muda mrefu
Katika juhudi za kuboresha Duka la Programu maarufu kama App Store kuwa rahisi kutumia, Apple inaondoa programu ambazo hazijasasishwa kwa…