Betri ya Google Pixel Watch inaripotiwa kudumu kwa siku moja
Google Pixel Watch iliyosubiriwa kwa muda mrefu hatimaye ilitangazwa katika Google I/O ya mwaka huu, ingawa kampuni hiyo haikutoa maelezo…
Google I/O 2022: Pixel 6a, Pixel Watch, na kila kitu kilichotangazwa leo
Leo ni siku lile tukio la kila mwaka ambapo Google hukutana na ma developer kwa ajili ya matangazo na uzinduaji…
Apple, Google na Microsoft zinaungana ili kuwezesha kutumia huduma bila nenosiri
Kampuni kubwa za teknolojia za Apple, Google na Microsoft zinaungana ili kuwezesha watumiaji kutumia huduma bila nenosiri. Taarifa hii ilitangazwa…
Google Pixel Watch: Kila kitu unachotakiwa kufahamu kuhusu saa janja hii
Ni muda sasa kumekuwa na tetesi ambazo zimekuwa zikigonga vichwa vya habari kuwa kampuni kubwa ya Google iko mbioni kuachia…
Google yazindua kituo cha kwanza cha maendeleo ya bidhaa barani Afrika
Kampuni kubwa ya teknolojia ya Google yazindua kituo cha kwanza cha maendeleo ya bidhaa barani Afrika katika mji mkuu wa…
App ya YouTube Vanced yafungwa na Google
Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali, leo ile App maarufu ya YouTube Vanced yafungwa na waendeshaji wake baada ya kutishiwa kufikishwa…
Google kutengeneza Miwani Janja (Smartglasses)
Kampuni ya Google kutengeneza Miwani Janja (Smartglasses) mpya. Taarifa ambazo hazijathibitishwa zinadai Kampuni ya Google iko mbioni kuingia katika soko…
Tofauti kati ya simu za Google Pixel 6 na Pixel 6 Pro
Kufuatia miezi kadhaa ya tetesi kuhusu simu mpya kutoka kampuni ya Google, hatimaye leo tarehe 19, oktoba 2021 simu za…
YouTube yazindua mfumo mpya wa utafutaji ili kurahisisha upatikanaji wa video
Ili kuwezesha watumiaji kugundua vile wanavotafuta kwenye Youtube ambayo inamilikiwa na Google, wamezindua maboresho katika upande wa utafutaji wa video…
Google yawezesha upatikanaji wa njia za Wheelchair kwenye Google Maps
Kuanzia leo, Google imeongeza upatikanaji wa routes za Wheel Chair kwenye Google maps ili kuwezesha watumiaji hao kufika kwa urahisi sehemu…