Safaricom iko mbioni kupeleka huduma ya M-Pesa nchini Ethiopia

Kwa mujibu wa taarifa ambayo imeanza kuonekana kwenye tovuti ya shirika maarufu la habari ya Reuters inasema kampuni kubwa kabisa ya mawasiliano nchini Kenya...

Bakhresa kuja na Azam Telecom

Akizungumza na gazeti la kila siku la The Citizen,  Mkurugenzi wa Mambo ya Nje wa kampuni ya Bakhresa Group, bwana Hussein Sufian Ally amesema kundi...

Raia Uganda kutozwa kodi kila watakapotumia mitandao ya kijamii

Bunge la Uganda laidhinisha mswada tata siku ya Jumatano utakaowataka watumiaji wa mitandao ya kijamii kulipia ili kutumia mitandao hiyo. Chini ya sheria hiyo...

Mahakama Kenya Yazuia Baadhi ya Vifungu vya Sheria ya Makosa ya Mtandaoni

Mahakama kuu nchini Kenya imevizuia vifungu 26 vya Sheria mpya ya Matumizi Mabaya ya Kompyuta na Makosa ya Mtandao mpaka hapo shauri litakaposikilizwa, hatua hii...

Zimbabwe kutumia teknolojia ya alama za vidole kwenye uchaguzi wa 2018

Serikali ya Zimbabwe imetangaza kuwa imeingia mkataba wa kusambaza vifaa na teknolojia ya kutambua alama za vidole kwa kampuni ya kimarekani Ipsidy.  Kmapuni hiyo inatarajiwa...

Kiwanda cha Simu za Mkononi kuzinduliwa Zanzibar

Siku chache zijazo Zanzibar inatarajia kujenga Kiwanda cha kuunganisha na kutengeneza simu za mkononi na kusaidia kuongeza ajira kwa wananchi wa visiwa hivyo.Kutoka katika...

Kampuni ya Uganda kushirikiana na Google yazindua simu mpya ya Android – Mara...

Mara Corporation Limited (MC)kampuni kutoka Uganda imeungana na Goolgle kuzindua simu ya Android One iitwayo Mara X, kwa soko la Afrika , tukio hilo...

Tigo, Selcom na Mastercard waungana kuleta huduma ya Masterpass QR nchini Tanzania

Tigo Tanzania kupitia huduma yake ya Tigo Pesa wameungana na kampuni ya malipo kwa njia ya kielektroniki ya Selcom na Mastercard kuleta huduma ya...

TTCL kutumia mabilioni kusambaza huduma ya internet majumbani

Leo Jumanne Februari 27, 2018 Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), bwana Waziri Kindamba ameeleza kuwa TTCL inatarajia kutumia Sh44.7 bilioni kusambaza...

Sasa unaweza kufanya manunuzi Google Play kwa kutumia M-Pesa (Kenya)

Habari njema kwa watumiaji wa simu za Android wa Kenya, sasa hawahitaji kuwa na kadi za benki ili waweze kununua app, filamu au manunuzi...
2,492MashabikiPoa
378Wafuasitufuate
40Wafuasitufuate
11WanachamaJiunge

Machapisho Mapya