web analytics

Maboresho mapya kwenye app ya Onedrive kutoka Microsoft

Sasa unaweza kufungua application ya Onedrive kwa kutumia uthibitishaji wa vidole (Fingerprint). OneDrive ya Microsoft ni program ya uhifadhi wa cloud inayokuwezesha kuhifadhi, picha, nakala,...

Instagram yazindua IGTV, programu tumishi kwa ajili ya video ndefu.

IGTV ni jaribio la Instagram kuanzisha mfumo wa kurusha Video ndefu kama YouTube, ambapo hapo awali Instagram ilikuwa ikiruhusu watumiaji kupakia mpaka video za...

Google washirikiana na Levi’s kutengeneza koti la kidigitali.

Google kama tuijuavyo imekuwa ikibuni bidhaa mbalimbali kwa miaka mingi sana vitu kama simu, tarakilishi mpakato (laptop), spika, VR goggles, vifaa vya masikioni (ear...

FIFA waruhusu teknolojia ya video (VAR) kutumika kwenye Kombe la dunia 2018

Teknolojia ya video katika mchezo wa soka au kama inavojulikana kama Video assistant referees (VAR) inatarajiwa kutumika katika michano ya kombe la dunia litakalopigwa siku...

Usitumie Wireless Charger kabla hujapitia hapa

Karibu mtaawasaba, mtaa wa uchambuzi wa mambo yote yahusuyo teknolojia, habari mbali mbali za kiteknolojia. Leo nimekuletea uzi huu uweze kujua kuhusu Wireless Charging,...

TTCL kutumia mabilioni kusambaza huduma ya internet majumbani

Leo Jumanne Februari 27, 2018 Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), bwana Waziri Kindamba ameeleza kuwa TTCL inatarajia kutumia Sh44.7 bilioni kusambaza...

Uchambuzi: Samsung Galaxy S9 na S9 Plus, Muonekano, Bei na Features mpya

Leo Tarehe 25 Februari 2018 katika Maonesho ya Simu ya MWC Kampuni ya Samsung imezindua Simu mbili mpya Samsung Galaxy S9 na Samsung Galaxy...

Sasa unaweza kufanya manunuzi Google Play kwa kutumia M-Pesa (Kenya)

Habari njema kwa watumiaji wa simu za Android wa Kenya, sasa hawahitaji kuwa na kadi za benki ili waweze kununua app, filamu au manunuzi...

Jinsi Fingerprint sensor inavyofanya kazi juu ya kioo cha simu

Kipindi kirefu kimepita tangu uvumi wa Sensa ya kidole kuwekwa juu ya kioo cha simu cha kuonesha, Tumezoea kuona ulinzi wa sensa ya kidole...

Samsung yazindua Diski ya SSD yenye ukubwa wa Terabyte 30

Yapata miaka miwili sasa tangu Samsung waachie diski yenye ujazo wa Terabyte 15.36 ambayo kwa wakati huo ilikuwa kubwa kuliko zote kupata kutokea duniani. Leo...
2,504MashabikiPoa
0Wafuasitufuate
376Wafuasitufuate
36Wafuasitufuate
0WanachamaJiunge

Machapisho Mapya