Jinsi ya kuangalia video za youtube na subtitle

ushawahi kuingia youtube na kukuta video nzuri ya tutorial au mziki ukaipenda lakini tatizo likaja ile video sio ya kingereza wala kiswahili ni lugha nyengine kabisa ambayo huielewi? basi leo tutajifunza namna ya kuziekea subtitle hizi video ili tuweze kuzielewa na kuzifurahia.

Usikose Kusoma:  Ni namna gani e-SIM itabadilisha mfumo wa teknolojia kuwa bora zaidi

 

step za kufuata

  1. search video unayoipenda youtube mimi hapa nimechukulia mfano nikasearch video ya psy inayoitwa gentleman hii video ipo lugha ya kikorea na mimi nataka niiielewe kwa kiswahili.

  2. angalia video ambayo kwa chini yake kuna neno CC (closed caption)

youtube 1

 

  1. kama hakuna click filter kama inavyoonekana picha ya juu then itatokea panel chagua CC(closed caption)
Usikose Kusoma:  Qualcomm: Simu za kwanza kuwa na teknolojia ya 5G zitatoka mwaka 2019

youtube 2

 

then zitakuja result za video zenye hio closed caption ambayo mimi nimeiita kama subtitle, open video then ikifunguka click cc

youtube 3

 

 

ukishaclick cc zitatokea lugha click translate caption then shuka chini hadi uone swahili

youtube 4

 

enjoy kuangalia video kwa subtitle za kiswahili

youtube 5

Andika Maoni

Andika maoni yako
Andika jina lako hapa