Twitter kuacha kutoa programu yake kwenye MacOS

Mwandishi Diana Benedict

Baada ya mwezi march Application ya Twitter itaacha kufanya kazi kwenye Mfumo Endeshi wa Mac.

Twitter mac update 4

 

Kupitia akaunti yake ya Twitter leo imetangaza kuiondoa na kuacha kutoa kabisa programu hiyo katika Mac App Store. ”Tunasisitiza jitihada zetu kwenye uzoefu mkubwa wa Twitter ambao ni thabiti katika jukwaa la wadau. Kwa hiyo, kuanzia leo programu ya Twitter kwa Mac haitapatikana tena kwa kupakuliwa, na katika siku 30 haitatumika tena.”

Twitter

Tufuatilie kwenye mitandao mbali mbali ili usipitwe na Habari, Uchambuzi naMakala mbali mbali ya mitanadoni na ya kiteknolojia kwenye FacebookTwitterInstagram, Google+ na Youtube, Pia usisite kutoa maoni yako hapo chini au tuandikie barua pepe kwa mhariri@mtaawasaba.com

 

Avatar of diana benedict
Mwandishi Diana Benedict Mwandishi
Mitandao ya Kijamii
Diana Benedict. Digital Creator | IT Specialist | Graphics Designer | Web Designer | Web SEO | Contents Management | UI/UX Designer and Social Media Management.
Maoni yako

Trending on Mtaawasaba

Receive Mtaawasaba notifications Click ‘Receive,’ then ‘Allow’ when prompted. Dismiss Receive