WWDC 2022: MacBook Air yenye Chip ya Apple M2 Yatangazwa
Moja ya matangazo makubwa leo siku ya kwanza ya WWDC 2022 ni pamoja na, hatimaye MacBook Air yenye Chip ya…
Betri ya Google Pixel Watch inaripotiwa kudumu kwa siku moja
Google Pixel Watch iliyosubiriwa kwa muda mrefu hatimaye ilitangazwa katika Google I/O ya mwaka huu, ingawa kampuni hiyo haikutoa maelezo…
Google I/O 2022: Pixel 6a, Pixel Watch, na kila kitu kilichotangazwa leo
Leo ni siku lile tukio la kila mwaka ambapo Google hukutana na ma developer kwa ajili ya matangazo na uzinduaji…
Android 13 Beta 1 sasa inapatikana kwa baadhi ya simu za Pixel
Google wameachia toleo jipya mfumo endeshi wa Android 13 Beta 1 siku ya Jumanne kwa baadhi ya simu za Pixel…
Google Pixel Watch: Kila kitu unachotakiwa kufahamu kuhusu saa janja hii
Ni muda sasa kumekuwa na tetesi ambazo zimekuwa zikigonga vichwa vya habari kuwa kampuni kubwa ya Google iko mbioni kuachia…
Mambo 6 unayotakiwa kujua kuhusu iPhone SE (2022)
Baada ya tetesi nyingi mwezi mzima uliopita hatimaye leo kupitia Apple Event ilopewa jina Peek Performance, Apple wamezindua bidhaa mpya…
Kila kitu unachotakiwa kujua kuhusu Samsung Galaxy S22 na S22 Plus
Leo Tarehe 9 Februari 2022 katika tukio la Galaxy unpacked 2022 Kampuni ya Samsung imezindua Simu tatu mpya ambazo ni…
Kila kitu kilichozinduliwa kwenye tukio la Samsung Galaxy Unpacked 2022
Leo Kampuni ya vifaa vya kielektroniki ya Samsung imezindua bidhaa kadhaa, na kupitia chapisho hili tutaangazia Kila kitu kilichozinduliwa kwenye…
Simu zinazotumia Blackberry OS kuacha kufanya kazi kuanzia Januari 4
Blackberry, moja ya kampuni iliyotengeneza simu zilizojizolea umaarufu mkubwa miaka ya nyuma, imetangaza kuwa Simu zinazotumia Blackberry OS kuacha kufanya…
Android 12 imewekwa mfumo wa Android Auto na itakuwa na uwezo wa Digital Car Key
Mwaka huu Google ilipofanya presentation kuhusu maboresho ya Android 12; moja kati ya sifa mpya ya Android 12 ni uwezo…