web analytics

Saa Janja

Maboresho mapya kwenye app ya Onedrive kutoka Microsoft

Sasa unaweza kufungua application ya Onedrive kwa kutumia uthibitishaji wa vidole (Fingerprint). OneDrive ya Microsoft ni program ya uhifadhi wa cloud inayokuwezesha kuhifadhi, picha, nakala,...

Google yabadili jina la Android Wear kuwa Wear OS ili kuvutia...

Mfumo endeshi wa Android ambao ni mahususi kwa ajili ya Saa janja unaojulikana kama Android Wear umebadilishwa jina na kuwa Wear Os by Google....