YouTube imeamua kuficha idadi ya dislikes kwenye video zote
Kuanzia leo, YouTube imeamua kuficha idadi ya dislikes kwenye video zote zilizopo katika mtandao huo mkubwa wa video unaomilikiwa na…
Facebook, WhatsApp, Instagram, na Messenger zapotea hewani
Katika hali isiyo ya kawaida leo jumatatu tarehe 4, oktoba 2021 tovuti, app na huduma zingine za Facebook, WhatsApp, Instagram,…
Telegram yashushwa mara bilioni 1 na zaidi, Whatsapp yahusika
Programu tumizi mashuhuri kwa kutuma na kupokea jumbe ya Telegram yashushwa mara bilioni 1 na zaidi. Telegram imekuwa programu ya…
Twitter ina mpango wa kuruhusu mtu yeyote kuwa verified
Akizungumza kupitia huduma ya Twitter ya Periscope Livestream, bwana Jack Dorsey ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Twitter amesema kwamba wako…
Tweet ya Kylie Jenner yagharimu SnapChat Dola bilioni 1.3
Siku ya alhmisi ilikuwa mbaya baada ya hisa za Snapchat kuporomoka ghafla na kampuni iyo imepoteza karibu dola za kimarekani…
Samsung Experience 9.0 yaja na maboresho ya Emoji
Kutegemeana na aina ya simu unayotumia, utagundua kuwa kuna tofauti katika Emoji zinazopatikana, ni utaratibu wa kawaida kwa watengenezaji wa…
Facebook yathibitisha kufanya majaribio ya kitufe cha downvote
Kwa miaka sasa, watumiaji wa mtandao wa kijamii wa Facebook wakiomba kuongezwe kitufe cha "Dislike" lakini haikuwahi kutokea ivyo. Badala…
Bitcoin: Yote unayohitaji kufahamu
Bitcoin ni mfumo wa kidigitali wa malipo kwenye mtandao wa internet (cryptocurrency), Imekuwepo tangu mwaka 2009. Mfumo huu ulitengenezwa na programa/maprograma…
Cryptocurrency ni nini?
Cryptocurrency sio neno geni masikioni kwako ndugu msomaji. Ni mada ambayo imekuwa ikizungumziwa sana hasa hasa kipindi cha miaka ya…
Watumiaji wa Whatsapp: Sasa unaweza kuzuia au kurekebisha ujumbe uliotumwa kimakosa!
Whatsapp inakuletea kipengele kipya kwa watumiaji wa simu za android na ios kuweza kurekebisha au kufuta kabisa message ilitumwa kimakosa…