Jinsi ya kuangalia video za youtube na subtitle

Mwandishi Hemedans Nassor
ushawahi kuingia youtube na kukuta video nzuri ya tutorial au mziki ukaipenda lakini tatizo likaja ile video sio ya kingereza wala kiswahili ni lugha nyengine kabisa ambayo huielewi? basi leo tutajifunza Jinsi ya kuangalia video za youtube na subtitle ili tuweze kuzielewa na kuzifurahia.

 

step za kufuata

  1. search video unayoipenda youtube mimi hapa nimechukulia mfano nikasearch video ya psy inayoitwa gentleman hii video ipo lugha ya kikorea na mimi nataka niiielewe kwa kiswahili.
  2. angalia video ambayo kwa chini yake kuna neno CC (closed caption)

youtube 1

 

  1. kama hakuna click filter kama inavyoonekana picha ya juu then itatokea panel chagua CC(closed caption)

youtube 2

 

then zitakuja result za video zenye hio closed caption ambayo mimi nimeiita kama subtitle, open video then ikifunguka click cc

youtube 3

 

 

ukishaclick cc zitatokea lugha click translate caption then shuka chini hadi uone swahili

youtube 4

 

enjoy kuangalia video kwa subtitle za kiswahili

youtube 5

unaweza kutupata YouTube kwa kubofya hapa

Mwandishi Hemedans Nassor Mchangiaji
Hemedans aka Chief Mkwawa, amekuwa mwandishi wa makala mbalimbali za teknolojia kuanzia kuanzishwa kwa Mtaawasaba. Kwa sasa ni mchangiaji kila anapopata nafasi
Maoni yako

Trending on Mtaawasaba

Receive Mtaawasaba notifications Click ‘Receive,’ then ‘Allow’ when prompted. Dismiss Receive