Snapchat plus: huduma ya kulipia kutoka snap

Snapchat Plus: Huduma ya kulipia kutoka Snap kuanza hivi karibuni.

Snap, kampuni inayomiliki mtandao wa kijamii maarufu wa Snapchat imethibitisha kuwa kwa sasa inajaribu huduma mpya ya usajili kwa watumiaji wake. Huduma hii mpya...
Internet explorer yapumzishwa baada ya miaka 27

Internet Explorer yapumzishwa baada ya miaka 27

Hatimaye, Internet Explorer yapumzishwa baada ya miaka 27. Kampuni kubwa ya teknolojia ya Microsoft rasmi "imestaafisha" kivinjari chake cha wavuti cha Internet Explorer kuanzia...
Photoshop bure kwa wote

Adobe kuja na toleo la Photoshop bure kwa wote

Kwa mujibu wa mtandao wa The Verge, kampuni ya Adobe kuja na toleo la Photoshop bure kwa wote. Toleo hili la Adobe Photoshop hivi...
Macbook air yenye chip ya apple m2 yatangazwa

WWDC 2022: MacBook Air yenye Chip ya Apple M2 Yatangazwa

Moja ya matangazo makubwa leo siku ya kwanza ya WWDC 2022 ni pamoja na, hatimaye MacBook Air yenye Chip ya Apple M2 Yatangazwa. Uzinduzi...
Ios 16 imezinduliwa kwenye wwdc 2022

iOS 16 Imezinduliwa kwenye WWDC 2022

iOS 16, ndio toleo jipya la mfumo endeshi wa simu za iPhone kutoka Apple. iOS 16 Imezinduliwa kwenye WWDC 2022, mkutano wa kila mwaka...
Wwdc 2022: jinsi na mahali pa kutazama, saa, na mengineyo!

WWDC 2022: Jinsi na Mahali pa Kutazama, na Mengineyo!

Tukio la Apple la WWDC 2022 lina tarajiwa kuanza Juni 6 . Tukio hili ambalo litakuwa litaoneshwa moja kwa moja mtandaoni kutoka Cupertino litajumuisha uzinduzi wa programu...
Tiktok inafanyia majaribio kipengele cha 'clear view'

TikTok inafanyia majaribio kipengele cha ‘Clear Mode’ ili Kutazama Bila Usumbufu

TikTok inafanyia majaribio kipengele cha 'Clear Mode' ili Kutazama Bila Usumbufu. ‎Kipengele hiki kitaruhusu uwezo wa ku scroll bila usumbufu kwenye programu, kampuni hiyo ilithibitisha...
Whatsapp kuruhusu kuhariri ujumbe uliotumwa

WhatsApp kuruhusu kuhariri ujumbe uliotumwa hivi karibuni

Kwa muda sasa watumiaji wametamani kuwepo na kipengele cha WhatsApp kuruhusu kuhariri ujumbe uliotumwa. Hatimaye WhatsApp wanaongeza kipengele ambacho sisi wote tunaweza kuwa tumekitaka...
Betri ya google pixel watch

Betri ya Google Pixel Watch inaripotiwa kudumu kwa siku moja

Google Pixel Watch iliyosubiriwa kwa muda mrefu hatimaye ilitangazwa katika Google I/O ya mwaka huu, ingawa kampuni hiyo haikutoa maelezo mengi kuhusu bidhaa zilizotangazwa...
Whatsapp kuruhusu uondoke kwenye vikundi kimya kimya

WhatsApp kuruhusu uondoke kwenye vikundi kimya kimya bila kuwaarifu wengine

Kwa miezi kadhaa sasa WhatsApp inaonekana kugonga vichwa vya habari kwa kuleta vipengele vipya na maboresho mengine wanayokuja nayo. Hivi karibuni tumeona wakiongeza idadi...

Mtaawasaba Newsletter

Jiunge na Mtaawasaba Newsletter kupata habari, makala, uchambuzi na mengine mengi kwa njia ya barua pepe kila mwisho wa wiki

Unaweza kuvutiwa na hizi