Vodacom Tanzania imezindua huduma ya teknolojia ya 5G

Kwa mara ya kwanza kabisa Watanzania wataanza kutumia teknolojia ya mawasiliano ya 5G kwani kampuni ya Vodacom Tanzania imezindua huduma ya teknolojia 5G ikisema italeta mapinduzi na kuongeza ushiriki wa

Mtaawasaba 4 wiki zilizopita

Twitter inafanyia majaribio kipengele kipya cha Status

Ikiwa umekuwa kwenye Twitter wiki iliyopita au zaidi, labda umegundua vitambulisho vipya vya Status ambavyo vinaanza kujitokeza kwenye machapisho ya watu. Hujaona kwa bahati mbaya kwani, Twitter inafanyia majaribio kipengele

Mwandishi Wetu Joeli miezi 2 zilizopita

Elon Musk aghairi kuinunua Twitter kwa dola bilioni 44

Katika faili mpya ya SEC Ijumaa Julai 8, Twitter ilichapisha barua iliyopokea kutoka kwa timu ya kisheria ya Elon Musk inayoonyesha kutoridhika na taarifa za kampuni hiyo kuhusu kiwango cha

Emmanuel Tadayo miezi 3 zilizopita

‎Twitter inafanyia majaribio CoTweets Kukuruhusu kuTweet Pamoja na Marafiki‎

Twitter imeanza kujaribu uwezekano wa kuruhusu watumiaji kuchapisha tweets pamoja. Kipengele hiki kimepewa jina la CoTweets, kipengele hiki kitaruhusu mtu zaidi ya mmoja kushirikiana kuandika tweet. Kwa sasa ni watumiaji

Emmanuel Tadayo miezi 3 zilizopita