Kampuni ya kichina inayojihusisha na utengenezaji wa Simu, Imetangaza kuzindua hivi karibuni simu mpya ambayo itasupport fingerprint kuwekwa juu ya kioo!
Kama ilivyokuwa Juni 2017 kampuni ya Qualcom ilitangaza kutoa chipset zitakazoweza kusopport fingerprint kuwekwa juu ya kioo, Kwa mwaka 2018 kampuni ya Doogee ndio kampuni ya kwanza kutangaza kuzindua bidhaa hiyo ikifuatiwa na Kampuni na Vivo.
Features za ndani na nje ya Simu hii
- Jina la Kampuni – Doogee
- Model – Doogee V 4G
- Aina ya Kifaa – Android 4G Smartphone
- CPU – Octa-Core (4 x 2.0GHz ARM Cortex A73, 4 x 2.0GHz ARM Cortex A53) Clock Speed
- Chipset – MediaTek P40, 64-bit Processor
- GPU – ARM Mali-G72 MP3 700MHz GPU
- Kamera – 21MP + 21MP with Dual Tone LED and AF Rear Camera | 16MP + 16MP Front camera with LED Flash
- Memory – RAM- 6GB LPDDR4x, 1866MHz | ROM 128GB External Memory Support Up to 256GB (Uses SIM 2 Slot)
- Display – Ukubwa wa kioo 6.2 inches AMOLED FHD+ Display (1080 x 2160 Pixels)
- Battery – Betri isiyochomoka 4,200 mAh Lithium-ion
- SIM – Hybrid Dual SIM (Nano-SIM + Nano-SIM/microSD Card)
- Sensors – Proximity Sensor, Accelerometer, Light Sensor, Compass, Gyroscope, Fingerprint Scanner (Iliyo juu ya kioo), Hall Sensor
- Rangi – Gold, Black
- Program ya Uendeshaji – Android 8.0 Oreo
- I/O Interface – 1 x Nano SIM Card Slot, 1 x Nano SIM Card Slot or TF Card Slot, Type-C USB, Power Button, Volume Button, Microphone, Speaker
- Weight – Grams (with battery)
- Features nyingine – Minimal Bezels, Metal Body Design, LPDDR4x, Type-C USB, LTE Cat-7, Fingerprint Scanner juu ya kioo, GPS, GLONASS, 3.5mm jack.