Adobe kuja na toleo la Photoshop bure kwa wote
Kwa mujibu wa mtandao wa The Verge, kampuni ya Adobe kuja na toleo la Photoshop bure kwa wote. Toleo hili…
TikTok inafanyia majaribio kipengele cha ‘Clear Mode’ ili Kutazama Bila Usumbufu
TikTok inafanyia majaribio kipengele cha 'Clear Mode' ili Kutazama Bila Usumbufu. Kipengele hiki kitaruhusu uwezo wa ku scroll bila usumbufu kwenye…
Sera Mpya ya Google Play Kuzuia Programu za Kurekodi Maongezi ya Simu
Kama wewe ni mtumiaji wa simu za Google Pixel au simu zinazotumia mfumo endeshi unaokaribia sana kufanana na pure Android…
WhatsApp mbioni kuruhusu utumaji wa mafaili ya ukubwa wa 2GB
App maarufu ya kutuma na kupokea meseji inayotumiwa na watu wengi zaidi duniani ya WhatsApp iko mbioni kuruhusu kutuma mafaili…
App ya YouTube Vanced yafungwa na Google
Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali, leo ile App maarufu ya YouTube Vanced yafungwa na waendeshaji wake baada ya kutishiwa kufikishwa…
Instagram yafunga App za Boomerang na Hyperlapse
Kwa mujibu wa Ripoti ya Apptopia iliyochapishwa na mtandao wa TechCrunch inasema Instagram yafunga App za Boomerang na Hyperlapse kwenye…
Snapchat kuruhusu watumiaji kubadili username
Mtandao wa kijamii pendwa kwa vijana wa Snapchat kuruhusu watumiaji kubadili username kuanzia Februari 23 mwaka huu. Kampuni hiyo imetangaza…
WhatsApp inaweka muonekano mpya kwenye Audio call
WhatsApp inaweka muonekano mpya kwenye Audio call, kupitia akaunti ya WaBetaInfo wametangaza kufanya maboresho mbalimbali ya programu hiyo tumishi kwa…
Facebook, WhatsApp, Instagram, na Messenger zapotea hewani
Katika hali isiyo ya kawaida leo jumatatu tarehe 4, oktoba 2021 tovuti, app na huduma zingine za Facebook, WhatsApp, Instagram,…
Sasa unaweza kutazama Netflix Bure ukiwa Kenya
Sasa unaweza kutazama Netflix Bure ukiwa Kenya, baada ya Netflix kuzindua huduma zao nchini humo na kuja na kifurushi cha…