Hizi features mpya utazipata utakapo update Android Oreo kwenye Galaxy S8 na S8 Plus.

0
Hivi karibuni kampuni ya Samsung ilitangaza kutoa updates mpya kwenye vifaa vya Samsung S8 na S8 Plus. Kabla ya kutoa official update ya android...

Android Go Edition: Android Oreo kwa simu za hali ya Chini

2
Kampuni ya Google imetangaza kuungana na makampuni ya kuzalisha simu kutoa Mfumo Endeshi wa simu za mkononi Android Go Edition kwa simu zilizo na...

Kampuni za simu kuboresha usajili wa wateja kwa kutumia alama za vidole

0
Leo karibu mitandao yote ya simu nchini Tanzania imekuwa ikituma ujumbe mfupi wa maneno kwa wateja wao unaosema “Ndugu mteja katika kuboresha usajili wa...

Siri ya TECNO kuongoza zaidi ya Asilimia 50% kuuza bidhaa nyingi Tanzania.

0
Kampuni ya TECNO ni kampuni ya Kichina inayojohusisha na uzalishaji wa bidhaa za kielectroniki hususani simu za mkononi. Kampuni ya Tecno ilianzishwa mnamo mwaka 2006...

Sony Xperia XA2, XA2 Ultra na L2 zazinduliwa rasmi kwenye maonesho ya CES 2018

0
Kampuni ya Sony imezindua simu tatu Xperia XA2, XA2 Ultra and L2 ambazo ni mid-range kwenye maonesho yanayoendelea huko Las Vegas. Simu hizo zenye kamera...