microsoft wametoa operating system mpya iitwayo windows 8 miezi 6 sasa. kitu kikubwa kwenye hii window ni start screen mpya ambayo ni ongezeko kutoka windows 7. moja ya maongezeko mengine ni kua na application kwa ajili ya windows 8 na hizi application hazipatikani kokote zaidi ya kwenye store ya windows 8. hii imefanya wale wanaopenda mambo ya kuchakachua kuwa ngumu kuweza kuzifanya apps za kulipia ziwe bure na leo ntawafundisha jinsi ya kuchakachua software zote za windows 8 ziwe bure.
NJIA ZA KUFUATA KUCHAKACHUA WINDOWS 8 APPLICATION
- download software yoyote ya kulipia (download trial)
- then download crack ya software zote kwenye hii link https://mediafire.com/?3zo66ys9ghg747b
- ukishadownload extract mafile yote na winrar kwenye folder unalotaka
- utapata mafolder matatu âwscrack_32â, âwscrack_64â na âwscrack_anycpuâ
- hapa inategemea na aina ya processor kama una processor ya 32 bit ingia folder la 32 bit na kama una processor ya 64bit ingia folder la 64bit (kujua aina ya processor ingia mycomputer then right click go to properties)
- ukishaingia folder husika click installer na itainstall
- rudi nyuma then utaclick folder la wscrack_anycpu halafu utaclick tokensmanager utaona soft zote zinatokea itafute software yako then icrack
- ur done enjoy full software
cha muhimu windows defender inaweza kitambua kichakachuzi kama malicious software so wewe ignore tu
kama kuna tatizo lolote usisite kupost chini
nice naanza kupata hamasa ya kuhamia kwenye windows 8 ngoja nitunze hii article itanisaidia.
karibu mimi windows 8 ni nzuri sana
Mbona hiyo link ya kudownload software ya media fire inadai password?
tafadhali naomba password ili niweze pakua hiyo software
mkuu nimesha update link sasa unaweza kudownload vizuri tu
mimi inakataa inaleta ujumbe huu,sijajua tatizo nini
! Cannot execute “C:UsersAHBAAB~1AppDataLocalTempRar$EX01.575wscrack_anycpuTokens Extractor.exe”
inawezekana antvirus yako inablock iswitch off kwanza then ndo uanze upya