Instagram yazindua Notes, Candid Stories, na Zaidi
Mtandao maarufu wa kijamii,Instagram, umetangaza rundo la vipengele vipya kwa watumiaji wa Android. Kampuni mama ya Instagram, Meta, ilitangaza katika…
Sasa itagharimu Dola 8 kwa mwezi kupata alama ya uthibitisho Twitter
Siku chache tu baada ya Elon Musk kukamilisha dili la umiliki wa mtandao wa kijamii wa Twitter, Bilionea Elon Musk…
Elon Musk hatimaye awa mmliki mpya wa Twitter, afuta kazi watendaji wakuu
Baada ya vuta nikuvute kwa miezi kadhaa, hatimaye mchakato wa ununuzi wa Twitter umekamilika na bilionea Elon Musk amechukua udhibiti…
Elon Musk aghairi kuinunua Twitter kwa dola bilioni 44
Katika faili mpya ya SEC Ijumaa Julai 8, Twitter ilichapisha barua iliyopokea kutoka kwa timu ya kisheria ya Elon Musk…
Twitter inafanyia majaribio CoTweets Kukuruhusu kuTweet Pamoja na Marafiki
Twitter imeanza kujaribu uwezekano wa kuruhusu watumiaji kuchapisha tweets pamoja. Kipengele hiki kimepewa jina la CoTweets, kipengele hiki kitaruhusu mtu…
Elon Musk mbioni kuinunua Twitter kwa Dola bilioni 43
Ni siku kadhaa tangu atangaze kununua asilimia 9.2 ya hisa za Twitter ambazo ni sawa na dola za kimarekani billioni 2.89…
Donald Trump azindua rasmi Mtandao wa Truth Social
Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump azindua rasmi Mtandao wa kijamii wa Truth Social. Mtandao huo ulizinduliwa jana Februari…
YouTube kuongeza njia zaidi kujiingizia kipato kwa watengeneza maudhui
YouTube kuongeza njia zaidi kujiingizia kipato kwa watengeneza maudhui ikiwemo kupokea fedha moja kwa moja kutoka kwa watazamaji na pia…
WhatsApp inafanya majaribio ya malipo kwa sarafu za kidigitali
Miezi sita iliyopita kampuni ya Meta ilitoa Wallet yake ya sarafu za kidigitali ambayo inaitwa Novi Wallet na inatumia Stablecoin…
Kampuni ya Facebook mbioni kubadili jina
Kupitia ripoti iliyochapishwa na mtandao wa The Verge siku ya jumanne, Kampuni ya Facebook mbioni kubadili jina Mkurugenzi mtendaji wa…