Muonekano wa Simu Mpya za Samsung Galaxy S9 & S9 Plus

Diana Benedict Maoni 183

Kampuni Samsung imethibitisha umbo kamili la simu za Samsung Galaxy S9 na S9 Plus zitakazo zinduliwa mwezi wa nne mwaka huu!

s9 V2 ALONE preview ALL SIDES
Samsung Galaxy S9

Muundo na Muonekano

Umbo la Samsung Galaxy S9 na S9 Plus Halitatofautiana sana na Umbo la Simu za Samsung Galaxy S8 na S8 Plus, hususani katika kuundwa kwa kioo chake, Ingawa katika umbo la Samsung S9 limeonekana kuzidisha nakshi hasa upande wa chini wa kioo unatajariwa kuwa na thikness Zaidi ya S8 au iPhoneX.

Vielelezo na Programu Endeshi

Samsung Galaxy S9 na S9 Plus inatarajiwa kutumia Procesa ya Exynos 9810 na Qualcom Snapdragon 840, Android 8.1 kama program endeshi.

Tufuatilie @MtaawaSaba ili usipitwe na Habari, Uchambuzi naMakala mbali mbali ya mitanadoni na ya kiteknolojia kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Google+ na Youtube, Pia usisite kutoa maoni yako hapo chini au tuandikie barua pepe kwa [email protected]

 

Mwandishi Diana Benedict Mwandishi
Mitandao ya Kijamii
Diana Benedict. Digital Creator | IT Specialist | Graphics Designer | Web Designer | Web SEO | Contents Management | UI/UX Designer and Social Media Management.
Maoni yako
Receive Mtaawasaba notifications Click ‘Receive,’ then ‘Allow’ when prompted. Dismiss Receive