Nokia lumia 520 na 720 zazinduliwa kwenye maonesho ya MWC. moja kati ya kitu ambacho windows phone ameshindwa na android ni bei, simu njingi za wp zinauzwa bei ghali lakini leo nokia wamezindua simu za bei rahisi kabisa za windows phone. simu zote zina processor za dual core 1 ghz na ram 512 mb na kuzifanya ziwe sio tu bei rahisi bali pia zilete perfomance kubwa.
Nokia lumia 520 simu rahisi zaidi ya windows phone
bei ni euro 139 kama laki 2 na elfu 80, kama nlivotaja hapo juuspecification za ukweli simu hii imetengenezwa kwa ajili ya asia na africa na bei hio haijajumuisha kodi.
vitu muhimu kwenye hii simu
- ina super sensitive screen inayogusika na gloves, kucha na vyenginevyo
- inakuja na built in apps kama za lumia 920 mfano cinemagraph, smartshoot
- ina perfomance kubwa na storage, processor 1ghz dual core, ram 512, internal 8ghb na memory card hadi 64gb
- masaa hadi 9 ya kuongea kwa 3g
- kioo cha inchi 4
- speed ni hadi 21 mbps
- inatumia windows phone 8
- rangi nyingi kuchagua
nokia lumia 720 stylish phone kwa bei rahisi
hii ni euro 249 kama laki 5 hivi unaweza ukaona ni kubwa lakini kwa simu hii si kubwa. ina hadhi ya flagship. ipo kama 520 kwenye specification ila vimeongezeka vitu vyengine kama camera na wireless charging
vitu muhimu kwenye hii simu
- wireless charging
- kioo 4.3 inch supersensitive
- camera 6 megapixel inapiga picha za lowlight kama l920
- rangi nyingi za kuchagua
- speed hadi 21 mbps
- battery kama ya lumia 920 2000mah masaa 13 ya kuongea
- camera ya mbele inayopiga wide angle  mnaeza kaa watu wanne na mkatoka wote bila kukatwa
- na leo nokia wamesema store yao imefika apps 130,000+
[wpdiscuz-feedback id=”5f18cuiuzb” question=”Please leave a feedback on this” opened=”0″]hizi ndo silaha mpya za nokia je atatoka?[/wpdiscuz-feedback]
tuandikie @mtaawasaba