Sasa watumiaji wa iOS wanaweza kufunga WhatsApp kwa kutumia TouchID au FaceID

 WhatsApp imekuwa ikija na mabadiliko na maboresho kadha wa kadha hasa upande wa usalama kwa miezi kadhaa sasa iliyopita. Moja ya maboresho waliyoleta kwa...

WhatsApp kudhibiti idadi ya message za kuforward ili kuzuia usambazaji habari za uzushi

Ni chini ya majuma mawili yamepita tangu WhatsApp watangaze kuongeza alama kwenye jumbe zinazosambazwa "forwarded message", leo wametangaza kufanya maboresho mahususi kwa ajili ya...

Instagram yazindua IGTV, programu tumishi kwa ajili ya video ndefu.

IGTV ni jaribio la Instagram kuanzisha mfumo wa kurusha Video ndefu kama YouTube, ambapo hapo awali Instagram ilikuwa ikiruhusu watumiaji kupakia mpaka video za...

Hizi features mpya utazipata utakapo update Android Oreo kwenye Galaxy S8 na S8 Plus.

Hivi karibuni kampuni ya Samsung ilitangaza kutoa updates mpya kwenye vifaa vya Samsung S8 na S8 Plus. Kabla ya kutoa official update ya android...

Apple waachia iOS 11.2.6 kutatua tatizo linaloharibu iPhone

 Mapema mwezi huu kumetokea tatizo kubwa lililokumba simu za iPhone. Neno la kihindi (Telugu) ambalo likiandikwa kwa kutumia app kama iMassage, WhatsApp, Pamoja na...

Usichokijua kuhusu WhatsApp Business kwa ajili ya Wajasiriamali wadogo.

Kipindi kichache kilichopita WhatsApp ilizindua Programu yao mpya ya WhatsApp Business inayowawezesha wafanya Biashara wadogo wadogo kuweza kuendesha Biashara zao kupitia mtandao huo wa...

VLC 3.0 toleo jipya lenye ku support Chromecast, Video za 8K na HDR

VLC ni moja ya zawadi kubwa ya open-source. Ni moja kati ya media player ya kipekee ambayo iko stable, nyepesi kufunguka, isiyo na matangazo...

Microsoft kuacha kutoa Sasisho za Usalama au Kuboresha Windows 8 na 8.1

Kama ilivyokuwa kwa Windows XP na Windows 7 Microsoft imetangaza kuacha kutoa Sasisho za usalama (Security Updates) katika mifumo endeshi ya Windows 8 na...

Google waja na app ya kukusaidia kudhibiti matumizi ya data

Vifurushi vya data ni bei ghali sio nchini kwetu bali nchi nyingi duniani. Unapokuwa unatumia simu yako kuchat, kufungua mitandao ya kijamii au kuangalia...

Watumiaji wa Whatsapp: Sasa unaweza kuzuia au kurekebisha ujumbe uliotumwa kimakosa!

Whatsapp inakuletea kipengele kipya kwa watumiaji wa simu za android na ios kuweza kurekebisha au kufuta kabisa message ilitumwa kimakosa kama mtumiwaji bado hajaifungua...
2,491MashabikiPoa
379Wafuasitufuate
40Wafuasitufuate
11WanachamaJiunge

Machapisho Mapya