Leo kampuni ya ASUS imetangaza toleo lake jipya la simu aina ya ASUS ZENFONE 5 ambayo ina umbo kama la iPhone X. Akiongea katika kongamano hilo la World Mobile Congress #MWC alisema “Ingawa watu watasema tumenakili kwa Apple, Lakini hatuwezi acha kutoa kile kitu ambacho watu wanapenda” Alisema Marcel Campos Mkuu wa masoko ya Asus
Kwa upande mwingine naweza kusema ASUS imejaribu kuleta simu ambayo watu wangependa kuipata, Nimependa jinsi walijitahidi design yake hasa katika Norch ya juu ya kioo yenye kamera na viunganishi vingine.
Tuitazamie kwa undani Specification za simu katika jedwali hili.
MTANDAO | Teknolojia | GSM / HSPA / LTE |
---|
2G bands | GSM 850 / 900 / 1800 / 1900 – SIM 1 & SIM 2 |
3G bands | HSDPA 850 / 900 / 1900 / 2100 |
4G bands | LTE |
Speed | HSPA, LTE-A |
GPRS | Yes |
EDGE | Yes |
UZINDUZI | Imetangazwa | 2018, February |
---|
Sasisho | Itaanzwa kuuzwa Aprill 2018 |
BODY | | |
---|
Uzito | 155 g (5.47 oz) |
SIM Card | Dual SIM (Nano-SIM, dual stand-by) |
DISPLAY | Aina | IPS LCD capacitive touchscreen, 16M colors |
---|
Ukubwa | 6.2 inches, 96.9 cm2 |
Azimio | 1080 x 2246 pixels, 18.5:9 ratio (~402 ppi density) |
Multitouch | Yes |
Ulinzi | Corning Gorilla Glass (unspecified version) |
| – DCI-P3 gamut
– ZenUI 5.0 |
PLATFORM | Mfumo Endeshi | Android 8.0 (Oreo) |
---|
Chipset | Qualcomm Snapdragon 636 |
CPU | Octa-core |
GPU | Adreno 509 |
MEMORY | Slot ya Card | microSD, up to 400 GB (uses SIM 2 slot) |
---|
Internal | 64 GB, 4/6 GB RAM |
KAMERA | Nyuma | Dual: 12 MP (f/1.8, 24 mm, 1.4 µm) + 12 MP (12mm), phase detection autofocus, gyro EIS, dual-LED (dual tone) flash |
---|
Vipengele | Geo-tagging, touch focus, face detection, HDR, panorama |
Video | 2160p@60fps, 1080p@30/60fps |
Mbele | 8 MP (f/2.0, 24mm), 1080p |
SAUTI | Aina Ya Tahadhari | Vibration; MP3, WAV ringtones |
---|
Kipaza Sauti | Spika Mbili |
3.5mm jack | Ipo |
| -Mic ya Uondoaji wa kelele (noise cancellation with dedicated mic) |
VIUNGANISHI | WLAN | Wi-Fi 802.11 a/b/g/n/ac, WiFi Direct, hotspot |
---|
Bluetooth | v5.0, A2DP, LE |
GPS | Ipo, with A-GPS, GLONASS, BDS |
NFC | Ipo |
Radio | FM radio |
USB | 2.0, Type-C 1.0 |
VIPINGELE VINGINE | Sensa | Fingerprint (Iliyowekwa nyuma ya Simu), accelerometer, proximity, compass |
---|
Messaging | SMS(threaded view), MMS, Email, Push Email, IM |
Kivinjari | HTML |
| – MP3/WAV/eAAC+ player
– MP4/H.264 player
– Document viewer
– Photo editor |
BETRI | | Betri isiyotoka yenye ukubwa wa 3300 mAh Li-Ion battery |
---|
MENGINEYO | Rangi | Midnight Blue, Meteor Silver |
---|
Simu ya Asus Zenfone 5 inatarajiwa kuuzwa kati ya Dola za kimarekani 499$ sawa na Takribani 1,050,000/= Tzs
Kwa mtazamo wangu naona simu Ya Asus zenphone 5 ni simu nzuri hasa ukiangalia ukubwa wa kamera yake ni dhahiri unaweza fikia Google Pixel 2 XL ambayo ndio simu inayoongoza kwa Camera Duniani “Hujakatazwa kuiga ila Boresha” hiki ndicho walichokifanya ASUS katika Simu yao hii mpya, Kuwekwa fingerprint nyuma ni dhahiri wamefanya maboresho kushinda hata iPhoneX, Fingerprint bado inahitajika sana katika Hardware ya simu za mkononi kwa sababu ndio ulizi ambao uko haraka kufungua pale unapohitaji kuifungua simu yako, kuliko kutumia face ID au Sensa ya Macho.
Endelea kuwa nasi @Mtaawasaba na pia usisahau kutufuata katika Social network mbali mbali kwa jina la mtaawasaba, Pia usisahau kusubscribu email kuweza kupata habari mpya kila zinapoingia, Pia usisite kutoa maoni yako hapo chini! Ahsante sana