Hii hapa iPhoneX ya Android imetangazwa huko MWC

Leo kampuni ya ASUS imetangaza toleo lake jipya la simu aina ya ASUS ZENFONE 5 ambayo ina umbo kama la iPhone X. Akiongea katika kongamano hilo la World Mobile Congress #MWC alisema “Ingawa watu watasema tumenakili kwa Apple, Lakini hatuwezi acha kutoa kile kitu ambacho watu wanapenda” Alisema Marcel Campos Mkuu wa masoko ya Asus

Kwa upande mwingine naweza kusema ASUS imejaribu kuleta simu ambayo watu wangependa kuipata, Nimependa jinsi walijitahidi design yake hasa katika Norch ya juu ya kioo yenye kamera na viunganishi vingine.

Tuitazamie kwa undani Specification za simu katika jedwali hili.

MTANDAO Teknolojia GSM / HSPA / LTE
2G bands GSM 850 / 900 / 1800 / 1900 – SIM 1 & SIM 2
3G bands HSDPA 850 / 900 / 1900 / 2100
4G bands LTE
Speed HSPA, LTE-A
GPRS Yes
EDGE Yes
UZINDUZI Imetangazwa 2018, February
Sasisho Itaanzwa kuuzwa Aprill 2018
BODY
Uzito 155 g (5.47 oz)
SIM Card Dual SIM (Nano-SIM, dual stand-by)
DISPLAY Aina IPS LCD capacitive touchscreen, 16M colors
Ukubwa 6.2 inches, 96.9 cm2
Azimio 1080 x 2246 pixels, 18.5:9 ratio (~402 ppi density)
Multitouch Yes
Ulinzi Corning Gorilla Glass (unspecified version)
– DCI-P3 gamut
– ZenUI 5.0
PLATFORM Mfumo Endeshi Android 8.0 (Oreo)
Chipset Qualcomm Snapdragon 636
CPU Octa-core
GPU Adreno 509
MEMORY Slot ya Card microSD, up to 400 GB (uses SIM 2 slot)
Internal 64 GB, 4/6 GB RAM
KAMERA Nyuma Dual: 12 MP (f/1.8, 24 mm, 1.4 µm) + 12 MP (12mm), phase detection autofocus, gyro EIS, dual-LED (dual tone) flash
Vipengele Geo-tagging, touch focus, face detection, HDR, panorama
Video 2160p@60fps, 1080p@30/60fps
Mbele 8 MP (f/2.0, 24mm), 1080p
Usikose Kusoma:  Intel yaungana na Microsoft, HP, Dell, na Lenovo ili kuleta Chip za Laptops za 5G mwaka 2019
SAUTI Aina Ya Tahadhari Vibration; MP3, WAV ringtones
Kipaza Sauti Spika Mbili
3.5mm jack Ipo
-Mic ya Uondoaji wa kelele (noise cancellation with dedicated mic)
VIUNGANISHI WLAN Wi-Fi 802.11 a/b/g/n/ac, WiFi Direct, hotspot
Bluetooth v5.0, A2DP, LE
GPS Ipo, with A-GPS, GLONASS, BDS
NFC Ipo
Radio FM radio
USB 2.0, Type-C 1.0
VIPINGELE VINGINE Sensa Fingerprint (Iliyowekwa nyuma ya Simu), accelerometer, proximity, compass
Messaging SMS(threaded view), MMS, Email, Push Email, IM
Kivinjari HTML
– MP3/WAV/eAAC+ player
– MP4/H.264 player
– Document viewer
– Photo editor
BETRI Betri isiyotoka yenye ukubwa wa 3300 mAh Li-Ion battery
MENGINEYO Rangi Midnight Blue, Meteor Silver

 

Simu ya Asus Zenfone 5 inatarajiwa kuuzwa kati ya Dola za kimarekani 499$ sawa na Takribani 1,050,000/= Tzs

Kwa mtazamo wangu naona simu Ya Asus zenphone 5 ni simu nzuri hasa ukiangalia ukubwa wa kamera yake ni dhahiri unaweza fikia Google Pixel 2 XL ambayo ndio simu inayoongoza kwa Camera Duniani “Hujakatazwa kuiga ila Boresha” hiki ndicho walichokifanya ASUS katika Simu yao hii mpya, Kuwekwa fingerprint nyuma ni dhahiri wamefanya maboresho kushinda hata iPhoneX, Fingerprint bado inahitajika sana katika Hardware ya simu za mkononi kwa sababu ndio ulizi ambao uko haraka kufungua pale unapohitaji kuifungua simu yako, kuliko kutumia face ID au Sensa ya Macho.

Endelea kuwa nasi @Mtaawasaba na pia usisahau kutufuata katika Social network mbali mbali kwa jina la mtaawasaba, Pia usisahau kusubscribu email kuweza kupata habari mpya kila zinapoingia, Pia usisite kutoa maoni yako hapo chini! Ahsante sana

Leave a Reply