iPhone 13 yazinduliwa: Kila kitu unachohitaji kufahamu

Alexander Nkwabi Maoni 146
iPhone 13 yazinduliwa kwenye tukio kubwa kabisa maarufu kama Apple Event: na kupitia ukurasa  huu tuankujuza kila kitu unachohitaji kufahamu.

Kama ilivyokuwa inatazamiwa, leo Apple wamezindua iPhone 13, ikiwa ni moja kati ya simu kadhaa zilizozinduliwa leo, simu hizi ni pamoja na iPhone 13 yenyewe, iPhone 13 Pro, iPhone Pro Max na iPhone 13 mini. Hii ni kwa upande wa simu, Apple pia wamezindua bidhaa zingine ikiwemo Apple Watch series 7 yenye muonekano mpya na iPad mini.

Habari hii bado inaboreshwa

Mwandishi Alexander Nkwabi Mhariri
Mitandao ya Kijamii
Alex ni mhariri mwandamizi hapa Mtaawasaba.com, kwa kipindi kirefu amekuwa akivutiwa na mfumo endeshi wa Android na michezo ya kompyuta. Alex akiwa haandiki hapa Mtaawasaba basi hupendelea kupiga picha, kusafiri na kusoma vitabu.
Maoni yako
Receive Mtaawasaba notifications Click ‘Receive,’ then ‘Allow’ when prompted. Dismiss Receive