Simu Tano za Samsung za bei nafuu unazoweza kununua 2018.

Katika uchaguzi wa simu, Huwa kuna mambo mengi ya kuzingatia, Watu wengi wanapofanya chaguzi za simu huwa wanaangalia sana Ukubwa wa uhifadhi (storage), RAM na ukubwa wa kioo.

Nimekuletea simu tano kutoka Samsung ambazo ni za bei rahisi kununua sasa Tanzania.

  1. Samsung Galaxy A8 (2018)

Samsung Galaxy A8 2018 ni toleo jipya la simu kutoka kampuni ya samsung iliyotoka mwaka 2018 yenye umbo ambalo linaendana na Simu ya Samsung S9, Naweza kusema kwa ambao watashindwa kununua simu ya S9 basi simu hii ni chaguo zuri kwao.

Hizi ni Sifa ilizonazo Samsung A8 2018.

MTANDAO Teeknolijia GSM / HSPA / LTE
2G bands GSM 850 / 900 / 1800 / 1900 – SIM 1 & SIM 2 (dual-SIM model only)
3G bands HSDPA 850 / 900 / 1700(AWS) / 1900 / 2100
4G bands LTE band 1(2100), 2(1900), 3(1800), 4(1700/2100), 5(850), 7(2600), 8(900), 12(700), 13(700), 17(700), 18(800), 19(800), 20(800), 26(850), 28(700), 38(2600), 40(2300), 41(2500), 66(1700/2100)
Kasi HSPA 42.2/5.76 Mbps, LTE-A (3CA) Cat11 600/75 Mbps
GPRS Ndio
EDGE Ndio
UZINDUZI Imetangazwa 2017, December
Sasisho Inapatikana madukani tangu Januari 2018
BODY Kipimo/Ukubwa 149.2 x 70.6 x 8.4 mm (5.87 x 2.78 x 0.33 in)
Uzito 172 g (6.07 oz)
Imetengenezwa kwa; Front/back glass, aluminum frame
SIM Single SIM (Nano-SIM) or  SIM Card Mbili (Nano-SIM, dual stand-by)
– Samsung Pay
– IP68 certified – dust/water proof zaidi ya 1.5 meter and 30 minutes
KIONYESHO Aina Super AMOLED capacitive touchscreen, 16M colors
Ukubwa 5.6 inches, 79.6 cm2 (~75.6% screen-to-body ratio)
Azimio 1080 x 2220 pixels, 18.5:9 ratio (~441 ppi density)
Multitouch Ndio
Ulinzi Corning Gorilla Glass (unspecified version)
– Always-on display
JUKWAA LA USIMAMIZI Mfumo Endeshi Android 7.1.1 (Nougat)
Chipset Exynos 7885 Octa
CPU Octa-core (2×2.2 GHz Cortex-A73 & 6×1.6 GHz Cortex-A53)
GPU Mali-G71
KUMBUKUMBU Card slot microSD, up to 256 GB (Slot ya pembeni)
 Ukubwa wa Ndani 32/64 GB, 4 GB RAM
KAMERA Nyuma 16 MP (f/1.7, 1/2.8”, 1.12 µm), phase detection autofocus, LED flash
Vipengele vya Kamera Geo-tagging, touch focus, face detection, panorama, HDR
Video 1080p@30fps,
Mbele Dual: 16 MP (f/1.9, 1/3.1”, 1.0 µm) + 8 MP (f/1.9, 1/4.0”, 1.12 µm), 1080p
SAUTI Aina ya Tahadhari Vibration; MP3, WAV ringtones
Loudspeaker Ndio
3.5mm Headphone jack Ndio
– 24-bit/192kHz audio
– Active noise cancellation with dedicated mic
VIUNGANISHI WLAN Wi-Fi 802.11 a/b/g/n/ac, dual-band, WiFi Direct, hotspot
Bluetooth 5.0, A2DP, EDR, LE
GPS Yes, with A-GPS, GLONASS, BDS
NFC Yes
Radio FM radio
USB 2.0, Type-C 1.0 reversible connector
VIPENGELE Sensa Fingerprint (Iliyowekwa Nyuma), accelerometer, gyro, proximity, compass, barometer
Messaging SMS(threaded view), MMS, Email, Push Mail, IM
Kivinjari HTML5
– Fast battery charging
– ANT+ support
– MP4/WMV/H.265 player
– MP3/WAV/WMA/eAAC+/FLAC player
– Photo/video editor
– Document viewer
BETRI Berti isiyotoka (Non-removable) Li-Ion 3000 mAh
Mda wa Kuongea Zaidi ya Masaa 24 (3G)
Kucheza Mziki Zaidi ya Masaa 66
MENGINEYO Rangi Black, orchid grey, gold, blue
SAR EU 0.24 W/kg (head)     1.25 W/kg (body)
Bei/Gharama Kama TZS 950,789/=
MAJARIBIO Uwezo Basemark OS II: 2067 / Basemark OS II 2.0: 2007
Basemark X: 15299
Kionyesho Contrast ratio: Infinity (nominal), 3.842 (sunlight)
Spika ya Sauti Voice 69dB / Noise 70dB / Ring 81dB
Ubora wa Sauti Noise -92.1dB / Crosstalk -90.0dB
Uwezo wa Betri
Inastahimili hadi masaa 92

Simu ya Samsung A8 2018 Imeundwa ka Aluminium Body na uwezo a kustahimili kukaa na charg hadi masaa 92, ni dhahiri kwamba ni simu Affordable kwa Tanzania.

Zitapatikana karibuni kupitia Duka la mtaawasaba.

  1. Samsung J7 Pro

Hii ni simu iliyozinduliwa mwaka 2017 June lakini bado ni simu ambayo iko kwenye chat na simu inayouzwa zaidi hasa katika maduka ya kariakoo, na ni simu inayosifika sna kutunza umeme kwa muda mrefu na nisimu ambayo inadumu bila kuleta shida yoyote. Hebu itazame hapa Specification zake;

MTANDAO Teknolojia GSM / HSPA / LTE
2G bands GSM 850 / 900 / 1800 / 1900 – SIM 1 & SIM 2 (kwa sim card mbili)
3G bands HSDPA 850 / 900 / 1700(AWS) / 1900 / 2100
4G bands LTE band 1(2100), 2(1900), 3(1800), 4(1700/2100), 5(850), 7(2600), 8(900), 12(700), 17(700), 20(800), 28(700), 38(2600), 40(2300), 41(2500), 66(1700/2100)
Speed HSPA 42.2/5.76 Mbps, LTE-A (2CA) Cat6 300/50 Mbps
GPRS Ndio
EDGE Ndio
UZINDUZI Imetangazwa 2017, June
Sasisho Inapatikana madukani tangu mwaka 2017
BODY Kipimo/ Ukubwa 152.5 x 74.8 x 8 mm (6.00 x 2.94 x 0.31 in)
Uzito 181 g (6.38 oz)
Imetengenezwa kwa Front glass, Body ya aluminium
SIM SIM Moja (Nano-SIM) au SIM Card Mbili (Nano-SIM)
KIONYESHO Aina Super AMOLED capacitive touchscreen, 16M colors
Ukubwa 5.5 inches, 83.4 cm2 (~73.1% screen-to-body ratio)
Azimio 1080 x 1920 pixels, 16:9 ratio (~401 ppi density)
Multitouch Ndio
– Always-on display
JUKWAA Mfumo Endeshi Android 7.0 (Nougat)
Chipset Exynos 7870 Octa
CPU Octa-core 1.6 GHz Cortex-A53
GPU Mali-T830 MP1
KUMBUKUMBU Slotiya Kadi microSD, zaidi ya 256 GB
Ndani 32/64 GB, 3 GB RAM
KAMERA Nyuma 13 MP, f/1.7, autofocus, LED flash
Vipengele Geo-tagging, touch focus, face detection, panorama, HDR
Video 1080p@30fps,
Mbele 13 MP, f/1.9, LED flash, 1080p
SAUTI Aina ya Tahadhari Vibration; MP3, WAV ringtones
Spika ya Sauti Ndio
3.5mm jack Ndio
VIUNGANISHI WLAN Wi-Fi 802.11 a/b/g/n/ac, dual-band, WiFi Direct, hotspot
Bluetooth 4.1, A2DP, LE
GPS Ndio, with A-GPS, GLONASS, BDS
NFC Ndio
Radio FM radio
USB microUSB 2.0, USB On-The-Go
VIPENGELE Sensors Fingerprint (Mbele chini ya kioo), accelerometer, gyro, proximity, compass
Messaging SMS(threaded view), MMS, Email, Push Mail, IM
Kivinjari HTML5
– ANT+ support
– MP4/WMV/H.264 player
– MP3/WAV/WMA/eAAC+/FLAC player
– Photo/video editor
– Document viewer
BERTI Betri Isiyotoka (Non-removable) Li-Ion 3600 mAh
Muda wa kuongea na simu Up to 24 h (3G)
Kucheza Mziki Up to 91 h
MENGINEYO Rangi Black, Blue, Gold, Rose Gold
SAR 0.71 W/kg
SAR EU 0.57 W/kg     1.33 W/kg (body)
Bei TZS 720,000/=
MAJARIBIO Uwezo Basemark OS II: 1172 / Basemark OS II 2.0: 1038
Basemark X: 5497
Kionyesho Contrast ratio: Infinite (nominal), 3.998 (sunlight)
Spika ya Sauti Voice 68dB / Noise 69dB / Ring 82dB
Ubora wa Sauti Noise -92.7dB / Crosstalk -92.4dB
Uezo wa Betri
Inastahimili zaidi ya masaa 107

Simu hii ya Samsung J7 Pro inapatikana maduka mengi hapaTanzania na inauzwa ka bei nafuu isiyozidi 750,000/= hadi 650,000/= ni simu nzuri sana kwa matumizi ya kawaida na hasa kwa wale tunaopenda kutumia sim card mbili kwenye simu moja.

Simu hii pia utakuwa kunapatikana kwenye duka la mtaawasaba hivi karibuni

3. Samsung J5 Pro

Simu nyingine ambayo mtaawasba imeweza kuiona ni simu ya Samsung J5 Pro ambayo imetoka mwaka 2017, Simu hii ni kati ya simu ambazoniza bei nafuu na ni simu nzuri kutumiwa wakati wote, Yenye body ya aluminium nyuma yake, na kamera nzuri yenye uezo wa kupiga picha hata kwenye mwanga mdogo, Naweza semaukiacha J7 Pro basi J5 pro ndo chaguo linalofata.

Na hizi ndio sifa zake

MTANDAO Teknolojia GSM / HSPA / LTE
2G bands GSM 850 / 900 / 1800 / 1900 – SIM 1 & SIM 2 (kwa sim card mbili)
3G bands HSDPA 850 / 900 / 1700(AWS) / 1900 / 2100
4G bands LTE band 1(2100), 2(1900), 3(1800), 4(1700/2100), 5(850), 7(2600), 8(900), 12(700), 17(700), 20(800), 28(700), 38(2600), 40(2300), 41(2500), 66(1700/2100)
Speed HSPA 42.2/5.76 Mbps, LTE-A (2CA) Cat6 300/50 Mbps
GPRS Ndio
EDGE Ndio
Usikose Kusoma:  Ripoti: Tanzania yafikisha watumiaji wa Intaneti milioni 23
UZINDUZI Imetangazwa 2017, June
Sasisho Inapatikana madukani tangu mwaka 2017, July
BODY Kipimo/ Ukubwa 146.2 x 71.3 x 8 mm (5.76 x 2.81 x 0.31 in)
Uzito 160 g (6.38 oz)
Imetengenezwa kwa Front glass, Body ya aluminium
SIM SIM Moja (Nano-SIM) au SIM Card Mbili (Nano-SIM)
KIONYESHO Aina Super AMOLED capacitive touchscreen, 16M colors
Ukubwa 5.2 inches, 74.5 cm2 (~71.5% screen-to-body ratio)
Azimio 720 x 1280 pixels, 16:9 ratio (~282 ppi density)
Multitouch Ndio
– Always-on display
JUKWAA Mfumo Endeshi Android 7.0 (Nougat)
Chipset Exynos 7870 Octa
CPU Octa-core 1.6 GHz Cortex-A53
GPU Mali-T830 MP1
KUMBUKUMBU Slotiya Kadi microSD, zaidi ya 256 GB
Ndani
16 GB, 2 GB RAM – Kimataifa
32 GB, 2 GB RAM – LATAM, SEA
32 GB, 3 GB RAM – Pro edition
KAMERA Nyuma 13 MP, f/1.7, autofocus, LED flash
Vipengele Geo-tagging, touch focus, face detection, panorama, HDR
Video 1080p@30fps,
Mbele 13 MP, f/1.9, LED flash, 1080p
SAUTI Aina ya Tahadhari Vibration; MP3, WAV ringtones
Spika ya Sauti Ndio
3.5mm jack Ndio
VIUNGANISHI WLAN Wi-Fi 802.11 a/b/g/n/ac, dual-band, WiFi Direct, hotspot
Bluetooth 4.1, A2DP, LE
GPS Ndio, with A-GPS, GLONASS, BDS
NFC Ndio
Radio FM radio
USB microUSB 2.0, USB On-The-Go
VIPENGELE Sensors Fingerprint (Mbele chini ya kioo), accelerometer, gyro, proximity, compass
Messaging SMS(threaded view), MMS, Email, Push Mail, IM
Kivinjari HTML5
– ANT+ support
– MP4/WMV/H.264 player
– MP3/WAV/WMA/eAAC+/FLAC player
– Photo/video editor
– Document viewer
BERTI Betri Isiyotoka (Non-removable) Li-Ion 3600 mAh
Muda wa kuongea na simu Up to 21 h (3G)
Kucheza Mziki Up to 83 h
MENGINEYO Rangi Black, Blue,  na Gold
SAR 0.71 W/kg
SAR EU 0.57 W/kg     1.33 W/kg (body)
Bei TZS 450,000/=
MAJARIBIO Uwezo Basemark OS II: 1172 / Basemark OS II 2.0: 1038
Basemark X: 5497
Kionyesho Contrast ratio: Infinite (nominal), 3.998 (sunlight)
Spika ya Sauti Voice 68dB / Noise 69dB / Ring 82dB
Ubora wa Sauti Noise -92.7dB / Crosstalk -92.4dB
Uezo wa Betri
Inastahimili zaidi ya masaa 97

Kwa bei ya Sh 420,000/= na sifa ilizonazo ni simu ya bei nafuu kutumia na ukaaji wa charg mzuri hata ukiwa safarini ni simu ambayo itakufanya safari yako uione fupi.

J5 Pro 2017 nayo itaanza kuuzwa kwenye duka la mtaawasaba hivi karibuni

  1. Samsung J5 Prime

Nisimu Iliyozinduliwa mwaka 2016,Lakini bado ni simu ambayo iko kwenye chat hasa katika soko la Tanzania, Uwezo wa Betri,Kioo cha lcd ndio kimefanya simu hii kuuzwa bei ya chini zaidi. Itazame Specs Zake hapa

MTANDAO Teknolojia GSM / HSPA / LTE
2G bands GSM 850 / 900 / 1800 / 1900 – SIM 1 & SIM 2 (kwa sim card mbili)
3G bands HSDPA 850 / 900 / 1700(AWS) / 1900 / 2100
4G bands LTE band 1(2100), 2(1900), 3(1800), 4(1700/2100), 5(850), 7(2600), 8(900), 12(700), 17(700), 20(800), 28(700), 38(2600), 40(2300), 41(2500), 66(1700/2100)
Speed HSPA 42.2/5.76 Mbps, LTE-A (2CA) Cat6 300/50 Mbps
GPRS Ndio
EDGE Ndio
UZINDUZI Imetangazwa 2016, Septemba
Sasisho Inapatikana madukani tangu mwaka 2016 Octoba
BODY Kipimo/ Ukubwa 146.2 x 71.3 x 8 mm (5.76 x 2.81 x 0.31 in)
Uzito 160 g (6.38 oz)
Imetengenezwa kwa Front glass, Body ya aluminium
SIM SIM Moja (Nano-SIM) au SIM Card Mbili (Nano-SIM)
KIONYESHO Aina Super AMOLED capacitive touchscreen, 16M colors
Ukubwa 5.2 inches, 74.5 cm2 (~71.5% screen-to-body ratio)
Azimio 720 x 1280 pixels, 16:9 ratio (~282 ppi density)
Multitouch Ndio
 Ulinzi Corning Gorilla Glass (Inategemea na eneo)
JUKWAA Mfumo Endeshi Android 6.0.1 (Marshmallow), Unaweza upgrade hadi 7.0 (Nougat)
Chipset Exynos 7570 Quad
CPU Quad-core 1.4 GHz Cortex-A53
GPU Mali-T720 MP2
KUMBUKUMBU Slotiya Kadi microSD, zaidi ya 256 GB
Ndani 16/32 GB, 2 GB RAM
KAMERA Nyuma 13 MP (f/1.9, 28mm), autofocus, LED flash
Vipengele Geo-tagging, touch focus, face detection, panorama, HDR
Video 1080p@30fps,
Mbele 5 MP, f/2.2
SAUTI Aina ya Tahadhari Vibration; MP3, WAV ringtones
Spika ya Sauti Ndio
3.5mm jack Ndio
VIUNGANISHI WLAN Wi-Fi 802.11 a/b/g/n/ac, dual-band, WiFi Direct, hotspot
Bluetooth 4.2, A2DP, LE
GPS Ndio, with A-GPS, GLONASS, BDS
NFC Ndio
Radio FM radio
USB microUSB 2.0, USB On-The-Go
VIPENGELE Sensors Fingerprint (Mbele chini ya kioo), accelerometer, gyro, proximity, compass
Messaging SMS(threaded view), MMS, Email, Push Mail, IM
Kivinjari HTML5
– ANT+ support
– MP4/WMV/H.264 player
– MP3/WAV/WMA/eAAC+/FLAC player
– Photo/video editor
– Document viewer
BERTI Betri Isiyotoka (Non-removable) Li-Ion 3600 mAh
Muda wa kuongea na simu Up to 16 h (3G)
Kucheza Mziki Up to 54 h
MENGINEYO Rangi Black, Blue,  na Gold
SAR 0.71 W/kg
SAR EU 0.57 W/kg     1.33 W/kg (body)
Bei TZS 420,000/=

Kwa bei ya sh 420,000/= simu hii ni ya bei rahisi, yenye ulinzi wa fingerprint

Utaipata kwenye duka la mtaawasaba hivi

  1. Samsung J2 Pro 2018

Ni simu iliyotoka mwaka 2018, na ya bei nafuu kununuliwa, Specification zake hizi,

MTANDAO Teknolojia GSM / HSPA / LTE
2G bands GSM 850 / 900 / 1800 / 1900 – SIM 1 & SIM 2 (kwa sim card mbili)
3G bands HSDPA 850 / 900 / 1700(AWS) / 1900 / 2100
4G bands LTE band 1(2100), 2(1900), 3(1800), 4(1700/2100), 5(850), 7(2600), 8(900), 12(700), 17(700), 20(800), 28(700), 38(2600), 40(2300), 41(2500), 66(1700/2100)
Speed HSPA 42.2/5.76 Mbps, LTE-A (2CA) Cat6 300/50 Mbps
GPRS Ndio
EDGE Ndio
UZINDUZI Imetangazwa 2016, Septemba
Sasisho Inapatikana madukani tangu mwaka 2016 Octoba
BODY Kipimo/ Ukubwa 143.8 x 72.3 x 8.4 mm (5.66 x 2.85 x 0.33 in)
Uzito 153 g (6.38 oz)
Imetengenezwa kwa Front glass, Body ya aluminium
SIM SIM Moja (Nano-SIM) au SIM Card Mbili (Nano-SIM)
KIONYESHO Aina Super AMOLED capacitive touchscreen, 16M colors
Ukubwa 5.0 inches, 68.9 cm2 (~66.3% screen-to-body ratio)
Azimio 540 x 960 pixels, 16:9 ratio (~220 ppi density)
Multitouch Ndio
 Ulinzi Corning Gorilla Glass (Inategemea na eneo)
JUKWAA Mfumo Endeshi Android 6.0.1 (Marshmallow), Unaweza upgrade hadi 7.0 (Nougat)
Chipset Exynos 7570 Quad
CPU Quad-core 1.4 GHz Cortex-A53
GPU Mali-T720 MP2
KUMBUKUMBU Slotiya Kadi microSD, zaidi ya 256 GB
Ndani 16 GB, 1.5 GB RAM
KAMERA Nyuma 8 MP, f/2.2, autofocus, LED flash
Vipengele Geo-tagging, touch focus, face detection, panorama, HDR
Video 1080p@30fps,
Mbele 5 MP, f/2.2, LED flash
SAUTI Aina ya Tahadhari Vibration; MP3, WAV ringtones
Spika ya Sauti Ndio
3.5mm jack Ndio
VIUNGANISHI WLAN Wi-Fi 802.11 a/b/g/n/ac, dual-band, WiFi Direct, hotspot
Bluetooth 4.2, A2DP, LE
GPS Ndio, with A-GPS, GLONASS, BDS
NFC Ndio
Radio FM radio
USB microUSB 2.0, USB On-The-Go
VIPENGELE Sensors Sensa ya kioo
Messaging SMS(threaded view), MMS, Email, Push Mail, IM
Kivinjari HTML5
– ANT+ support
– MP4/WMV/H.264 player
– MP3/WAV/WMA/eAAC+/FLAC player
– Photo/video editor
– Document viewer
BERTI
Betri inayotoka Li-Ion 2600 mAh battery
Muda wa kuongea na simu Up to 18 h (3G)
Kucheza Mziki Up to 60 h
MENGINEYO Rangi Black, Blue,  na Gold
SAR 0.71 W/kg
SAR EU 0.57 W/kg     1.33 W/kg (body)
Bei TZS 290,000/=

Samsung J2 2018 inapatikana kwa bei isiyozidi laki tatu bei ambayo inaaffordable kwa mtanzania wa kawaida.

Ahsante kwa kufuatilia kwa kina makala hii, Pia usisiste kutoa maoni yako hapo chini, Pia Subscribe katika Chanel yetu ya Youtube https://mtaa.ws/youtube uweze kupata makala za kila wiki kupitia youtube.

Leave a Reply