TECNO kuja Na Camon CM January hii

Baada ya Kufanya vizuri katika Models za Camon kuanzia Tecno Camon C5, C7, C8, C9 na Camon CX, Sasa kampuni ya Tecno inaongeza toleo lake Jipya liitwalo Tecno Camon CM. Naweza simu hii ndio simu ya kwanza Kwa kampuni ya Tecno ambayo ni Bezelless Display.

Kwa haraka tuingalie simu hii features Zake

  • Kioo – 5.7″ 720p Full Vision Display
  • Chipset – MediaTek MT6737 Processor (Quad-Core)
  • 2GB RAM
  • 16GB/32 Storage ya ndani
  • 13 MP Kamera ya Mbele iliyoungana na flaah + 13 MP Kamera ya nyuma iliyoungana na flash tatu zenye mwanga mkali
  • 4G
  • Fingerprint Sensor ya nyuma
  • 3000 mAh Battery
  • Android 7.0 kama Programu Endeshi

 

WAWEZA SOMA:  OnePlus 5T: Unahitaji simu hii kwa matumizi zaidi ya simu

Andika Maoni

Andika maoni yako
Andika jina lako hapa